😳😳😳😳😳Can't believe it,,sjawahi kuona haya kwa inchi yoyote ndunianinyie watu wa Bongo, ebu nielezeni kwanini CCM inawalazimisha kuwa wazalendo Kwa viboko?🤣🤣
you guys are just soo primitive, wtf is this happening in the 21st century? 🤣🤣🤣🤣
Hatari sana
Kitu nachokipenda zaidi ni mazingira ya huu mji
Moshi View attachment 1652464
Weka picha inayoonekana vizuri
Hehe so mnapenda misitu??Kama hapa ingekuwa Nairobi ungesema htujajenga ilhali ni kutunza jiji na hua linapendeza Kama unavyo paona mosi ni pasawaKitu nachokipenda zaidi ni mazingira ya huu mji
Moshi View attachment 1652464
Yeah napenda sana miti mingi ,Kuhusu Nairobi miti mmejitahidi Mimi hua sipendi slums zenu tuHehe so mnapenda misitu??Kama hapa ingekuwa Nairobi ungesema htujajenga ilhali ni kutunza jiji na hua linapendeza Kama unavyo paona mosi ni pasawa
We acha zako bwana, hiyo picha huoni lakini za pale kitandani usiku nazo unaona vizuri sana[emoji23][emoji23]Weka picha inayoonekana vizuri
Ata mimi huwa sipendi hio uswazi wenuYeah napenda sana miti mingi ,Kuhusu Nairobi miti mmejitahidi Mimi hua sipendi slums zenu tu
Kaulizie uko kongo kitu tumefany...sio unalialia tu hapa..[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23]Medal ya majambazi kukata jeshi la Tanzania kwa panga kule Congo?[emoji23][emoji23][emoji1787]
We nawe unamiyeyusho sana sema siina unastory nyingi sanaWe acha zako bwana, hiyo picha huoni lakini za pale kitandani usiku nazo unaona vizuri sana[emoji23][emoji23]
99% iyo tafiti umeifanyia wap?99% of Tanzanian urban roads are not marked, why? Is it lack of funds or just laziness by the ministry of roads?
Sasa unafikir Dar ni kajiji ka watu million 2 kama kunya ...ndio mana tunahitaj mabasi zaidi pia kuongeza root za trains....wellcome to definition of true city[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...Acha kulia basi[emoji23][emoji23][emoji116][emoji116]
Basi tutazipaka anzia kesho zoteBased on the Tanzanian pictures being posted here.
[emoji1]Ata mimi huwa sipendi hio uswazi wenu
Kwasababu sio lugha yetu ya taifa hapo unashangaa nn ???🤣🤣🤣
Ww ulitaka hao vija wasichapwe unajua walichokifanya???nyie watu wa Bongo, ebu nielezeni kwanini CCM inawalazimisha kuwa wazalendo Kwa viboko?🤣🤣
you guys are just soo primitive, wtf is this happening in the 21st century? 🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣 umegundua na wwWeka picha inayoonekana vizuri
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Yeah napenda sana miti mingi ,Kuhusu Nairobi miti mmejitahidi Mimi hua sipendi slums zenu tu