Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ona venye umezibwa akili[emoji23][emoji23][emoji23], sasa render ya Mombasa gate bridge na actual image ya Likoni Floating bridge zinausiana aje?
Ona venye umezibwa akili[emoji23][emoji23][emoji23], sasa render ya Mombasa gate bridge na actual image ya Likoni Floating bridge zinausiana aje?
MOMBASA GATE BRIDGE -construction commence next year
 
Likoni floating bridge is the only floating bridge in East and Central Africa.
Kwann usiseme tu pedestrian bridge hakuna gari inapita hapo sijui unanielewa🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 wala hakuna cha floating hapo rudini mukamuulize kenyatta
 
Kila la kheri majirani zetu Sisi hatunaga majungu kama nyie🤣🤣🤣
Hahahaha wakitaka kujenga BRT waifumue thika yote nje ya hapo BRT wataskia kwenye makalio yao 🤣🤣🤣🤣🤣

watabakia na kale kaneno sisi tunajenga miaka mitatu leo siku hzi huskii wakiongelea tena 😅😅😅
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hiyo hatuna asee nafkir iyo teknologia ya kufloat juu ya pillers huku aijafika [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116][emoji116]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…