Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ninachokiona hapa ni kwamba wanajenga stations za BRT kwakua barabara ipo kilichobakia ni kuchora lane au unasemaje buda
Wala hakuna station zinazojengwa ni utumbo wa bata 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Unajua Kenya pale mahali wanafail.. ni kuwekeza kwenye kuwa bora kuliko sisi... Halafu wanakuta sisi tunakazana kutatua Shida zetu... Hata hatuwawazi 🙂 😀

Tanzania is actually setting the bar.. Wengine wao hufollow tu 😀
 
babuyenu yupo uku anakula bata ila nyie wakunya wa jf mtaishia korogocho adi mtii [emoji23][emoji23][emoji847]
af uyu jamaa katakata tofauti na alivokuja ee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…