Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wahindi Waliolijenga hawaliiti float bridge ila mjinga mmoja wa Gorokocho!
Nimelileta hilo kusudi nikajua mtakuja mbio, sasa unasema huoni tofauti[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Manake uliskia hilo la wahindi linafunguka
 
game tunacheza na maisha tunafanya[emoji38][emoji38].

unlike you,mko serious mida wote mpaka mnazeeka.
Lazima mtu upige kazi, sio kila wakati unajoachia tu..
Jf ni sehemu ya ku explore na kujifurahisha pia, ndio manake waniona sai nimeingia baada ya kumaliza majukumu yangu ya kila siku kupumzisha akili
 
Dar hakuna slum, dar yote ni slum
 

Attachments

  • 12761979_231220322846151921173kijitonyama2_jpeg_jpeg2c2fb3c28ab9ce25ae5a826df5d78690.jpeg
    82.4 KB · Views: 24
Lazima mtu upige kazi, sio kila wakati unajoachia tu..
Jf ni sehemu ya ku explore na kujifurahisha pia, ndio manake waniona sai nimeingia baada ya kumaliza majukumu yangu ya kila siku kupumzisha akili
sasa mtu anacheza game unashangaa nini!!!!
 
Gemu la simu hku tunaweka kw ajili ya watoto sasa na akizidisha utundu unamnunulia kids tab sasa sijui hko nyie
fifa 2017 acheze mtoto[emoji23][emoji23],labda kama unazungumzia candy crush saga.
 
Kwhyo we unaona nguzo hapo sio wala huoni likielea[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sanata sana
Inawezekana kiswahili kigumu labda huelewi maana ya kuelea.

kwaiyo hapo linaelea kwenye anga au linaelea kwenye nguzo??

Maana naona halijagusa maji na limeungana na hizo nguzo za pembezoni.

Alafu muonekano mbaya kuliko video yako ya render ulotuonesha humu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…