Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sai gengetone wameanza kufikisha views za maana..
 
Ingekua corrupted and failed plus broke state like Kenya, mali yote hii usingesikia hata kwenye media where it went

 
Unajitoa ufahamu tayari[emoji1787][emoji1787]
Ulipotaja lewaaaa ulimaanisha nn, kumbe unazisikiza ukikamatwa unaanza kulia lia
lewaaa nakutana nazo kama playback huko ticktok na kwenye memes za instagram,sijawahi fatilia ni nani kaimba ila nilijua ni wakenya.
 
lewaaa nakutana nazo kama playback huko ticktok na kwenye memes za instagram,sijawahi fatilia ni nani kaimba ila nilijua ni wakenya.
Heheheh!!siku naona gengetone inapenya bongo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Km kuna wabongo sai wanazitumia katima insta videos zao na tiktok..

Mpende msipende sai gengetone mitaani mtaziskiza tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…