Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kenya na Tanzania zilikuwa na similar population size wakati wa uhuru. Lakini baada ya uhuru hawa jamaa waliamua kuraruana sana.
nchi mnanjaa mpaka leo miaka 57 baada ya Uhuru mtakuwaje na idadi sawa na sisi tunaowalisha?
 
1960 kenya na tanzania population zilikuaje[emoji1787][emoji1787]
Nadhani ukisha google ndio utaelewa kwn tunasema mnazaana kiholela tu
hamtumii akili tu.

tulikuwa sawa ndio,leo tumewazidi watu 10ml,eneo tumewadouble,tena eneo lenye faida sio kame.
 
Mimi naongea kuhusu data ya census na wewe unanipa huu utopolo?
 
Kenya na Tanzania zilikuwa na similar population size wakati wa uhuru. Lakini baada ya uhuru hawa jamaa waliamua kuraruana sana.
Ndio manake kila watoto wao wanapokua wakubwa wanawaza kwenda dar kujenda dream house yake abaki hko hko
 
Hahaaa!!basi hapo wajiona eti umenikamata, we sema tu km hutaki tujenge BRT uende mahakama ya EAC ukapinge jomba.

Ila majungu kw sasa hayatokufikisha kokote pale
Nyie hamjengi brt,mwajenga tu stations🀣🀣ila ONLY BRT iko palepale..
 
hamtumii akili tu.

tulikuwa sawa ndio,leo tumewazidi watu 10ml,eneo tumewadouble,tena eneo lenye faida sio kame.
Kwa hivyo kwa sababu mna ardhi kubwa kutushinda kwa hivyo mna ruhusa ya kuraruana mnavyopenda bila kupanga uzazi? Aisee pangeni uzazi majirani.
 
hamtumii akili tu.

tulikuwa sawa ndio,leo tumewazidi watu 10ml,eneo tumewadouble,tena eneo lenye faida sio kame.
Hapa mada mnazaana km panya tu[emoji1787][emoji1787]
Usinipe mawazo ya kimaskinini mimi
 
Kwa hivyo kwa sababu mna ardhi kubwa kutushinda kwa hivyo mna fursa ya kuraruana mnavyopenda bila kupanga uzazi? Aisee pangeni uzazi majirani.
hakuna taifa kubwa lenye idadi ndogo ya watu,ndio maana hata SA saa hizi ishashuka no 3 huko.
 
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kenyan homes, international tourism attraction πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Hakuna mtanzania anaepumua amewahi kuishi kwenye haya mazingira toka dunia imekua πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…