π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£ Wenye jengo wanakwambia 27π€£π€£ππMnaleta nyuzi za Skyscrapercity mlizotunga wenyewe
Halafu analeta picha ya ujenzi wa ghorofa 10+,sisi tukiamua kuleta hizo picha jengo mojamoja si tunajaza seva bure,upanga tu kuna kama majengo 6 ya floor 15+ yako UCπ€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£ yani jamaa alijua katukamata yani alijua tumeiba pic ya paris hvi
Kama hakuna mbona msiziboreshe zikawa nyumba nzuri?Hakuna mtu amabae anamiliki uswazi nairobi[emoji1787][emoji1787]
Hehehe!!imepenya hyoWapo wanaomiliki slum tu
Mwambieni panaitwaje basi afabye research mwenywe, ligi zingune za kishambaJamani kuna mtu hataki kuamini kama hii ni dar[emoji115][emoji115][emoji115]