Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hata hko kwenu pia maisha magumu, tena ndipo nikakwambia..
Mbunge wa tz anatembelea gari kubwa mshahara wachini kenya mshara wa juu gari dogo..

Hali ile ile tu ya kiafrika afrika
Kwenu mbunge analipwa sh ngp hebu weka hapa kima tuone.
 
Nionyeshe wabunge wa tz wakilisha raia hko chato
Hiyo picha siwezi kuwa nayo mana hakuna uhaba wa chakula Tz, ukiona mbunge analisha raia co kwmb wana njaa bali wanaenda kutimiza wajibu mana sadaka haikataliwi.
 
Duh!!wakulu wenu wanapenda sana starehe basi..
V8 ni gari ya gharama sana kuwagawia watu wote hao
Si uliwekewa picha ya polisi wa Tz kutembelea v8 ukabisha ww [emoji3][emoji3][emoji85][emoji85][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205]
 
Nilikuwa nashangaa pesa za madini huwa zinaenda wapi kumbe wakubwa wa ccm Na serikali wanakula maisha kwa kijiko kikubwa
Pesa ya madini c mlikuwa mnachukuwa nyinyi na wahindi au ushasahau, now hakuna huo ufala [emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…