Kulikua na sababu gani kujenga choo km wakati mnajua sgr ya mturuki inapopitia kuna population ndogoKulikua na sababu gani ya kujenga Airport kama population ni ndogo Sana?
Aaa weee[emoji1787][emoji1787]kwn tanzania siku hizi kuna mkoa wa wahindi km vile wasukuma kule chatoWote hao ni wazaliwa wa Tanzania, babu zao walizaliwa Tanzania, Mo hana jamaa wala ndugu yeyote India, tofauti na ninyi 90% ya private sector owners ni wazungu, hata sio raia wa Kenya.
Huku Tanzania, Private sector ni 20%, public sector ni 80%, Kenya private sector ni 90% na Public ni 10%[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Km msalaba vile..poor designing, si heri mngelijenga roundabout kabisaKicha ulio nayo ni next level ...embu jikune upele ulete three ties like this one[emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji116]pimbi wwView attachment 1662846
Majina vipi, au unaogopa usiambiwe unaleta posh area kw level ya tzTuliza roho yakooo[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji116]View attachment 1662855
Chief njoo bongo umuulize mtoto wa miaka 10 kuhusu Brookside uone kama atakuelewa, kuna pia maziwa na juice za south zinapatikana kwa tochi kama juice ndio zimezimwa na azam, maziwa ndio brands za kila ainaSection Ruiru Town,,the home of Brookside company that feed the entire EA with milk,,View attachment 1662941
Msaada, meffiPerhaps u don't know how 3-level looks like [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205]View attachment 1662929
Anhaa ngoja wakuskie!Tunawalazimisha ili tuwapige body search. Watoe nguo na wapanue mik*ndu ili tuone kama wamebeba bomb mwilini.
Of course!Nazo c ni bullet?
Haiya pamekuwa pachafu already 🤣
Dua la kuku halimpati mwewe! Bakini na hiyo mitungi ya chang’aa Na Mitumba ya Spain huku sisi tuki-enjoy vitu brand new!ITX pengine mtaletewa ndotoni mwenu.
Tulia kijana, ndugu yako hanaushabiki kama wewe.Wasije wakakudanganya mkuu, hzo picha zinapigwa upande upande, Kenya nzima ni uhalo wa slums.
Hayo maeneo wanakaa whites ila mbele kdg inakaa hv [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3]View attachment 1662913View attachment 1662914
Twende nao, washalainika hawa.Haiya pamekuwa pachafu already 🤣
Vp unaahidi nn ITX trains zikiingia hapo January uko tayari kubong'oa? Watu wale boga?ITX pengine mtaletewa ndotoni mwenu.
Bado yako,haiwezi kosa kwa shelves za your supermarketsChief njoo bongo umuulize mtoto wa miaka 10 kuhusu Brookside uone kama atakuelewa, kuna pia maziwa na juice za south zinapatikana kwa tochi kama juice ndio zimezimwa na azam, maziwa ndio brands za kila aina
There is No way Kenya can be above Tanzania!
Ndo hz [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205]Kenya hatutumii hyo michina[emoji1787][emoji1787]
Zinahesabiba, we unafuata urembo sisi tunafuata chuma cha mana
Sent using Jamii Forums mobile app