Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hayo magari mnayosema mnaassemble mnauzia wapi?

Hayo masufuria mnayoita mabus hata Kilimanjaro wanayatengeneza vizuri kabisa kwa miaka mingi mno
Akuoneshe hio assembly plant ya scania 🀣🀣🀣🀣
 
Bado ujenzi unaendelea,,this road is a game changer for Eldoret town,it Will be the first one to bring an Overpass and 3 interchanges,heko my president UhuruπŸ‘πŸ‘πŸ˜
 
Hehehe yani hujui tofauti kati ya assembling na body building[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji23]
Tuoneshe plant ya scania kenya ukipata mm nafunga acc jamii forum forever 🀣🀣🀣🀣
 
This is body building and not assembling. Wewe ni fala hata kuliko kondoo[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji23]
Then show me where is assembly plant ya scania in kenya mm nasubiri 🀣🀣🀣🀣 yani sikupata kukutana na mtu kilaza wa level yako
 
Hata Kisumu kuna kampuni ya body building[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Yeye anadhani body building ndio assembling[emoji1787][emoji23][emoji23]
Mm nataka unioneshe plant assembly ya scania ina kenya wallah nahapa ukipata mm nafunga acc jamii forum 🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Na mkenya yoyote atakaepata assembly plant ya scania in kenya naomba musisite kupost hapa πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„ musiogope
 
Assembly ya scania iko moja tu africa nayo ni south africa 🀣🀣🀣🀣 mtu anakuja anaongea upuuzi tu

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…