Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wakenya waliokua wakijiuliza kwamba mbona tuna shule nzuri hivi ambazo ninyi haitotokea muwe nazo lakini kuna watanzania wanasoma Kenya

Jibu lenu ni kwamba hao watanzania wanaosoma Kenya wanakuja huko sababu max zao haziwaruhusu kuingia upper classes, ndio maana hukimbilia Kenya na Uganda kwenye reckless education system
 
True. Sijawahi kuona mtanzania mwenye akili akienda kusoma kenya. Na wakirudi huwa wanahangaika sana.

Hata hivyo nimewahi kwenda Arusha kwenye shule fulani ya primary wakenya wengi mno walikuwa wanaandikiswa.
 
Huna picha zingine!?
Halafu nchi yenu ipo na shule 10 tu nzuri!? Na zina milkiwa na Catholic!?
Sasa unapiga kelele na tukikupea mashule zetu za public mnaanza kuliaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚. Tulia na hiiπŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

Nairobi School.
 
Nimekwambia uniletee Schools owned by GoK. Mbona simple tu.
Hata kwetu Tanzania education is a service.
Umenielewa!?
Nilijua tu lazima ulieπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Shule zote nimepost hapa are owned by the government. Endelea kulia na hii hapa, State House Girls High School.πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ˜‚πŸ˜‚

 
Sasa unapiga kelele na tukikupea mashule zetu za public mnaanza kuliaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚. Tulia na hiiπŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

Nairobi School.
View attachment 1669169View attachment 1669170
Hii nilisema ipumzisheni πŸ˜…πŸ˜…

Yaani kweli mna uhaba wa kutisha wa shule, yaani sikutegemea nitawabimiza mapema hivi? 🀣🀣🀣
 
Ina maana ntakua narusha jiwe kwenye kituo cha polisi?🀣🀣🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…