Em toa maoni yako kuhusu viability ya hiyo train inayosafirisha behewa 4 za abiria tena hata hazijai kwa siku?Umeona sasa ilivyokuwa mweupe kichwani[emoji1787][emoji1787][emoji1787]l
Ndio Mtumishi. Leo nilikuwa napiga intro ya ImaniKumbe watumishi tupo wengi, hahaa
Imani ni somo pana barikiwa mtumishi
Nani kakwambia hazijai..Em toa maoni yako kuhusu viability ya hiyo train inayosafirisha behewa 4 za abiria tena hata hazijai kwa siku?
Kwanini wakenya hampendi kusafiri? Yaani sipati picture kama ingekua ni Tanzania, hiyo train ingepiga kazi mpaka ichakae
Kwa siku Ubungo inapokea busses zaidi ya 2000 kutoka mikoani na nchi jirani hapo bado train kutoka Kigoma inabeba abiria 1000, Sijaongelea train kutoka Arusha wala TAZARA wala airports wala private cars and the same population is discharged the next day off from Dar
Tatizo lugha[emoji1787][emoji1787]Umesha anza kulia [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23] yani nyie niwajinga...sasa unamtukana bwana enuu[emoji1787][emoji1787] kisa kasema ukweli...hawezi ropoka tu ndio ratiba ushuzi yenu
Sasa kwani si hiyo video inaonesha empty seats kibao tu, hata terminals zinaonekana tupu kabisaNani kakwambia hazijai..
Ingia katika website yao ujaribu ku book uone km zimebaki ngapi
But it still ours [emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205][emoji90][emoji90][emoji86][emoji86]Without checking i can tell this road is within your main airport. True or false
U r hurt.Once again let that building and road rest, its on every page.
Nimesahau na boats kutoka Zanzibar, yaani watanzania kusafiri ni culture yetu na hii ni kwa kila mikoa, ndio maana kila mkoa na wilaya ina regional and district bus terminalsNani kakwambia hazijai..
Ingia katika website yao ujaribu ku book uone km zimebaki ngapi
Hebu mwambie atazame hii video aanze kuhesabu mabasi mangapi yanatoka ubungoEm toa maoni yako kuhusu viability ya hiyo train inayosafirisha behewa 4 za abiria tena hata hazijai kwa siku?
Kwanini wakenya hampendi kusafiri? Yaani sipati picture kama ingekua ni Tanzania, hiyo train ingepiga kazi mpaka ichakae
Kwa siku Ubungo inapokea busses zaidi ya 2000 kutoka mikoani na nchi jirani hapo bado train kutoka Kigoma inabeba abiria 1000, Sijaongelea train kutoka Arusha wala TAZARA wala airports wala private cars and the same population is discharged the next day off from Dar
Ushaanza kupoteza hamu na huu uzi, I told you lazima utulie cz hamtakaa mje kuifikia Tz hata muongope na ma statistics uchwara but on ground never ever [emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205][emoji90][emoji90]Once again let that building and road rest, its on every page.
battle ya Tz poverty kife Vs Kenya poverty life wameiogopa wamepita kimya kimyaUshaanza kupoteza hamu na huu uzi, I told you lazima utulie cz hamtakaa mje kuifikia Tz hata muongope na ma statistics uchwara but on ground never ever [emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205][emoji90][emoji90]
Kisa umeambiwa usirudie picha ndo unalilia hivi, nimekuumiza sana🚮🚮Ushaanza kupoteza hamu na huu uzi, I told you lazima utulie cz hamtakaa mje kuifikia Tz hata muongope na ma statistics uchwara but on ground never ever [emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205][emoji90][emoji90]
Bring facts.battle ya Tz poverty kife Vs Kenya poverty life wameiogopa wamepita kimya kimya
Hebu nitag niende mkuu [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]battle ya Tz poverty kife Vs Kenya poverty life wameiogopa wamepita kimya kimya
[emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Bring facts.
Haya ni maajabu ya mwaka aisee, wazungu wanasema let strong man passes by, au kwa kiswahili tunasema mafuriko hayazuiwi kwa mkono [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Beer Zanzibar zimeisha watalii niwengi mno
View attachment 1673794
Kwhyo kenya hakuna mabasi sio[emoji1787][emoji1787]Nimesahau na boats kutoka Zanzibar, yaani watanzania kusafiri ni culture yetu na hii ni kwa kila mikoa, ndio maana kila mkoa na wilaya ina regional and district bus terminals
Ninyi hata Nairobi tu haina bus terminal
hatar sanaBeer Zanzibar zimeisha watalii niwengi mno
View attachment 1673794