Tell any any meaningful construction project (high-rise) inayoendelea Dar kwa sasa. You built some three blue towers and that was it. Nairobi zinzinuaka usiku na mchanano wonders wakiona miradi Bongo wanakuwa na wivu! hali ni ngumu huko!
kuna mwenzako anashangaa zetu za moja kwenda moja kurudi[emoji28][emoji28][emoji28],hope hii yako iko somalia[emoji23][emoji23]Northern Kenya [emoji23] [emoji23] View attachment 1674679
Nilimuomba anilete huo ushahidi lakini akakosa kabisa kupata huo ushahidi. Watanzania Muwache kuharibu jina la KNBShapo nimekupata ila nawewe uache uwongo ,unaushahidi gani kuwa ni uwongo wa watanzania...?
je akikuletea hiyo taarifa utasema nini
hakuna anayeharibu ila nyie ndiyo mnaoishi na mask usoni kuficha sura ya ukweli wa mambo na kuadd cooked data for nothing....Nilimuomba anilete huo ushahidi lakini akakosa kabisa kupata huo ushahidi. Watanzania Muwache kuharibu jina la KNBS
by 2010 ilikuwa ni ndoto kutaja dsm na nairobi sehemu moja,but you know what happen ina just 10yrs.Tell any any meaningful construction project (high-rise) inayoendelea Dar kwa sasa. You built some three blue towers and that was it. Nairobi zinzinuaka usiku na mchana
Is it not you who said Barabara huku ni Nairobi tu? Nikuletee zinging from northern Kenya?[emoji1787][emoji1787][emoji1787] ndiyo nin sasa. .?,, wazee wa km nyingi..
umeona umebamba mwenyewe
Wewe nyumbu kila uonapo neno demolition unafikiri kuwa nyumba za masikini zimebomolewa na watalala nje usiku kwenye baridi. Hii nyumba iliyobomolewa hakuna mtu aliyekuwa akiishi ndani. Shamba lilinunuliwa tayari likiwa na jengo hilo ndogo. Mwenye shamba akapokea pesa yake na kuhama na vitu vyake. Sasa developer huyu mpya aliamua kubomoa nyumba hio na kuchimba foundation ya jengo la 44 floors. Natumai umeelewa sasa.no wonders wakiona miradi Bongo wanakuwa na wivu! hali ni ngumu huko!
Dar has a long way to reach where Nairobi is today. Kubalini yaisheby 2010 ilikuwa ni ndoto kutaja dsm na nairobi sehemu moja,but you know what happen ina just 10yrs.
saa hii wacha tuhangaike na sgr train,brt phase zote,na marekebisho machache kama stand na huduma nyingine za kijamii.
hizo tower 3,ndio zinaifanya nairobi kuwa kama haifanyi kitu[emoji23][emoji23][emoji23].
Mbona nchi yenu kame hivi?Northern Kenya 😂 😂 View attachment 1674679
Onyesha evidence kwamba KNBS imecook data. Kama wenzako wameshindwa kuleta evidence wewe ndio utaweza?hakuna anayeharibu ila nyie ndiyo mnaoishi na mask usoni kuficha sura ya ukweli wa mambo na kuadd cooked data for nothing....
Uliza Mwenyezi Mungu. Halafu kimya kimya ujiulize mbona kanchi kame na kadogo kama Kenya kanawatandika kwenye GDP.Mbona nchi yenu kame hivi?
GDP ambayo 85% ni deniUliza Mwenyezi Mungu. Halafu kimya kimya ujiulize mbona kanchi kame na kadogo kama Kenya kanawatandika kwenye GDP.
Moderator unamuona Tony254 ananitukana...!Wewe nyumbu kila uonapo neno demolition unafikiri kuwa nyumba za masikini zimebomolewa na watalala nje usiku kwenye baridi. Hii nyumba iliyobomolewa hakuna mtu aliyekuwa akiishi ndani. Shamba lilinunuliwa tayari likiwa na jengo hilo ndogo. Mwenye shamba akapokea pesa yake na kuhama na vitu vyake. Sasa developer huyu mpya aliamua kubomoa nyumba hio na kuchimba foundation ya jengo la 44 floors. Natumai umeelewa sasa.
Kilichonifurahisha ni pale alipoleta screen shot ya Upper Hill Chambers under construction sometime back in 2018 na kusema ni 88Nairobi just because their showroom is close by 😂 😂 Nikamuuliza iweje 88nairobi iko hadi na net ya green all round it na jengo lenyewe linshainuka several floors above the ground while the whole world knows that 88Nairobi ndio wanamwaga zege kwenye foundation at the moment. Huyu anafaa tu kupuuzwaHuyu zuzu ichoboy01 hajui maana ya demolition. Msamehe tu. Halafu evidence zake zote ni za 2018
Pole mzee. Ilikuwa utani. Usicatch mafeelings. Utafanya nipigwe ban.
Wewe umenitukana mara ngapi na sikulia? Ama umesahau mara zote ulizonitukana? Anyway pole sikuwa na ubaya.
hiyo hata wewe huamini[emoji28][emoji28]vinginevyo usingehangaika kuprove kila siku kwenye huu uzi busy zaidi jamiiforums tokea ianzishwe.Dar has a long way to reach where Nairobi is today. Kubalini yaishe