Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Unachukia media za Kenya na bado unaquote Nation media. Hio sio kigeugeu.
 
Alafu unaskia mtu anakwambia Dar ni kubwa kuliko Nairobi. Remember Dar is a coastal city. Ujenzi umespread half the directions - yani 180Β° Wakati Nairobi ni inland city, ujenzi umespread all directions, yani 360Β° .
Ndio ulidanganywa na kenyatta kwamba 690kmsq ni kubwa kukiko 1400km sq🀣🀣
 
We are talking of the built-up area (metro) and you are talking of boundaries. Are you mad? So should we say Naivasha, with an area of 1, 685.4sq. km is bigger than Dar with an area of 1,590 sq. km?
Hapa kinachoongelea ni city areaπŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

nairobi city area 690km sq
Dar city area 1400km sq
 
According to who kenyatta ???🀣🀣🀣 zanzibar na kilimanjaro unaziweka wapi chini ya vuzi au
Zanzibar airport haiwezi kukimbizana na Moi airport Mombasa kwenye passenger numbers.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…