Hahahaha ila wakenya ni vichaa, ulitaka uone slums everywhere kama Nairobi nini?Sasa kama lile eneo mwenzenu ameconfirm is 35 kms from the CBD bado unataka tu tufananishe Dar na Nairobi? Huoni hats aibu? 35 kms from Nairobi and huwezipata sehemu iko wazi hivyo. Kama nadanganya prove me wrong
Kuwa pwani ndio kunazuia nini watu kujenga?Mwambie apost picha zingine 30-40km from Dar CBD tuone zinakaaje - na akumbuke Dar ipo pwani kwa hivo haispread direction zote kama Nairobi.
sasa sisi mbona ni road reserve na mnapiga kelele kama mabata maji[emoji16][emoji16][emoji16]Government reserve land[emoji23][emoji23][emoji23]
Umewaza kama mimi. Hawa jamaa sijui kama wanawashauri kwenye majengoHili jengo hata bure huniweki humu ndani!
hawa mapapai wakiona kkoo na posta wanadhani watu wote 6mln tunaishi hapo[emoji38][emoji38].Kuwa pwani ndio kunazuia nini watu kujenga?
Wuhuhuuuu!!road reserve mpka kile kijiji[emoji23][emoji23]sasa sisi mbona ni road reserve na mnapiga kelele kama mabata maji[emoji16][emoji16][emoji16]
Hyo ni appartment ya watu na levels zao[emoji23][emoji23]Umewaza kama mimi. Hawa jamaa sijui kama wanawashauri kwenye majengo
Kuna fala mmoja humu anajitamba nalo!Umewaza kama mimi. Hawa jamaa sijui kama wanawashauri kwenye majengo
Hiyo ya kwanza hata Dar huwezi Pata residential kama hiyo.
So, eneo likiwa wazi ni kijiji? hili eneo 110m both sides kutoka katikati ya barabara lote ni la halmashauri + hapo mwanzo wa picha nyuma ni mto na wale machinga mbele ni wa muda wakisubiri halmashauri itenge eneo la biashara baada ya barabara kukamilika.Huwezi kuta vijiji in kenyan cities[emoji23][emoji23]
Especially our capital
shilingi ngapi hiyo??Hyo ni appartment ya watu na levels zao[emoji23][emoji23]
Bei huwezani
Ficha upumbavu wako. Eti Mombasa haina airport? Unaishi dunia gani wewe?Acha kufananisha mwanza na takataka, Mombasa haina airport wala bullet trains, haina cruise ships, haina suburbs, Mombasa ni utopolo kiongozi
kijiji kiko wapi onyesha hapa.Wuhuhuuuu!!road reserve mpka kile kijiji[emoji23][emoji23]
Anadhani anaweza affordAta huwezi wekwa ndani kwasababu hankuna vitu za bure🤣😹
Nakwambia kuna mafala humu.🤣🤣🤣Mama ngina Ni public park,wacha kutuletea nje za hoteli ufananianishe na mama ngina
Mwambie akuonyeshe airport ya Mwanza, utacheka.🤣🤣Ficha upumbavu wako. Eti Mombasa haina airport? Unaishi dunia gani wewe?
Sasa moi ni airport au kibandamaiti?Ficha upumbavu wako. Eti Mombasa haina airport? Unaishi dunia gani wewe?
Na hio terminal 2 achilia mbali terminal 3 iliofunguliwa juzi
View attachment 1679647
Hii terminal 3 imefunguliwa juzi [emoji1787][emoji1787][emoji116]
View attachment 1679649View attachment 1679650View attachment 1679651View attachment 1679652View attachment 1679653View attachment 1679654View attachment 1679655View attachment 1679656View attachment 1679657View attachment 1679658View attachment 1679659View attachment 1679660View attachment 1679661
Kuna watu sgr yao bila nchi za jirani ni bureJPM on his way to Karagwe to sign the largest multibillions Kabanga Nickel mining project in the region!
MY TAKE
Wale wanaodai SGR Tanzania haitakuwa na cargo, they should keep waiting!
CC: Tony254