Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Naona huo ndio utetezi wako!
Utetezi gani na huo ndio ukweli, ndio manake serekali yetu hata haina hamu nao..
Waache wapate riziki bana, hyo hyo media hapo inataka kenya iendelee zaidi km europe[emoji23][emoji23][emoji23]
Yani huaga wao bora waandike wapate wachangiaji tu wala hmna lingine, hyo ndio maana ya uhuru wa habari..
 
Unaleta picha za Kikuyu just to help lick your wounds. Kikuyu is not even in Nairobi. Secondly, hizo sehemu umeleta hapa are all built up areas. Sijaona kichaka hapo kama ile yenu
umekuwa kipofu sasa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

yaani kama 20km un\kuwa nnje ya nairobi basi hiko ni kimji si jiji[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

ndiyo maana tunawaambia kuwa hako ni kaeneo kadogo na mmeshindwa kukajenga yaani 20km unakuwa out of nairobi.......tobaaa!!!!

msishindane tena na dar
 
Kikuyu kwn siku hizi ipo nairobi eakenya wenzangu[emoji23][emoji23]
Kuna jamaa huku hajui hta kutumia internet yeye bora achokore apate picha anatupia
sasa kama 20km tu unakuwa out of nairobi,,,,,

serious mnataka kulinganisha dar heaven city na hako kamji kapo kama punje ya unga na mmeshindwa kujenga.....seriously....


ya leo kali 20km out of nairobi na bado kuna vichaka vya kutosha[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Tuonyeshe la dar[emoji23][emoji23]
Sisi hatujahamisha makao popote pale
Kwani makao makuu ya tanzania yako wapi hebu nijibu 🤣🤣🤣 mbona hushangai bunge lipo dodoma na wizara zote zipo dodoma
 
Ukiwa humu unatetea hiyo unemployment rate ila ukiwa nje ya jamiiforums hiyo unemployment rate inakuumiza sana na huo ndio tunaita uzalendo maandazi.
 
Vyombo vya habari bana[emoji23][emoji23]
Na hapo siku ingine wataandika kenya iwe km marekani wakati wanasahau km life kwetu ni cheaper kuliko kule..

Najua lazima watajisahau siku hyo
Kwahio leo unakana hio habari 🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…