Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Walipo kua wakijenga hizi barabara hawakua na brt in mind? Engineers na experts walikua wapi? Majirani zetu bwana mnatuangusha Sana 🙂
 
Hujui programming kijana. Nakupatia maswali ya kitoto kabisa unashindwa.
Nimekwambia kama unataka kujifunza programming nitakusaidia ujue basics.
Sasa ukinipa Swali jibu lake eti ni STUPID nami nijibu kiujinga mjinga tu eti jibu ni STUPID????
 
Ss fanya kumtafute akupe knowledge wacha kujitutumua, tabia za kikenya zitawakosesha mambo mengi sana duniani hapa.
Hapana swali lenyewe rahisi jibu unaeza ona si la kufikiria anauliza yale maswali ya beginners. Nia yake ilikua unitusi ona kwa hiyo picha nimekutag Soma Jibu kwa hiyo picha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…