wewe tatizo hujielewi,,,,,ipo hivi mtu yeyote anayezaliwa Tanzania awe na asili ya kichina,german,indian,arabic huyo ni mtanzania haijarishi rangi wala ukabila huyo anakuwa ni mtanzania na mtanzania yeyote yule ni mswahili.....komora096 hawa watu ni wajinga sijapata kuona. Wachana nao. Eti wanaforce wazungu na wahindi wawe waswahili ilhali wanasema kwamba hakuna Mkenya yeyote ambaye ni mswahili. Chuki yao kwa Wakenya imezidi
Mmeshinda wapi?Uliskia wapi tumeshindwa??[emoji1787][emoji1787]
Vita gani kdf imepigana.Hizo Vita nimeskia na nyinyi,,si mpigane vita mzito Kama zenye kdf hupigana[emoji1787][emoji1787]
leta list ya vita ambayo KDF imepambana na kuwa victory....[emoji16][emoji16][emoji28][emoji28]Uliskia wapi tumeshindwa??[emoji1787][emoji1787]
Wakuu,Niliipenda hii mshuaView attachment 1687909
Hizi ni wewe🤣🤣leta list ya vita ambayo KDF imepambana na kuwa victory....[emoji16][emoji16][emoji28][emoji28]
tuanzie hapo kwanza
nilimwuliza awali akatumia vita vya makabila ya wafugaji vya kugombea mifugo huko mount elgon na shafta war hahahahahaleta list ya vita ambayo KDF imepambana na kuwa victory....[emoji16][emoji16][emoji28][emoji28]
tuanzie hapo kwanza
Mnanunua vifaa vya vita na hamna unga ndani[emoji23][emoji23]
Shughulikieni kwanza njaa. Hizo designed aluminums hata vijana wa VETA wanaweza kukunja na kutengeneza hayo ma box.
Wewe wacha ujinga. Wapwani wa Kenya hawaongei kiswahili cha kawaida wanaongea kiswahili kizuri kushinda chenu. Punguza chuki za kijinga. Nyinyi mnaosema rara badala ya lala ndio mnajua kiswahili?Jamaa unatudanganya nimekaa Mombasa wanaongea Kiswahili cha kawaida Sana mikindani nimefika mpaka old town labda lamu wanaongea Kiswahili kizuri 🙂
Kwahiyo vita mlizoshinda ni za kuwapiga Wakenya si ndio? Yani kwakweli hii ni aibu sn, unajua shida iliyopo ni advertisment yn ninyi mlitushinda kwenye kujitangaza na sio kwmb mlitushinda bali ndio ilikuwa culture yetu ya kutopenda kujitangaza kitu ambacho kikapelekea kufeli kwenye mambo mengi sana, na sijui kwnn viongozi waliopita walikuwa hawaoni umuhimu wa kujitangaza.Hizi ni wewe[emoji1787][emoji1787]
View attachment 1688111
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Tunazidi ata kununua vifaa
View attachment 1688112
Mbona hamjatupita kwenye GDP? Mna maringo mingi ya bure tu.Kwahiyo vita mlizoshinda ni za kuwapiga Wakenya si ndio? Yani kwakweli hii ni aibu sn, unajua shida iliyopo ni advertisment yn ninyi mlitushinda kwenye kujitangaza na sio kwmb mlitushinda bali ndio ilikuwa culture yetu ya kutopenda kujitangaza kitu ambacho kikapelekea kufeli kwenye mambo mengi sana, na sijui kwnn viongozi waliopita walikuwa hawaoni umuhimu wa kujitangaza.
Imefikia kipindi eti mkenya anathubutu kabisa ku compare kdf na tpdf bila aibu, lkn kinachompa power ni yale makaratasi ya Google eti kdf imekuwa ranked juu ya tpdf licha ya ukweli kwamba tpdf ndio inayosifika hapa Afrika kukomboa nchi nyingi.
Hii ni kutokana na viongozi kulala, wenzetu wakipigana hata vita vya panzi haooo wanakmbilia ku publish, wakinunua hata mzinga wa nyuki haooo wame publish, but cc serikali yetu haikuwa na utaratibu huo kwa kisingizo cha censorship, but now Magu hataki masihara kabisa kila kitu anaweka hadharani watu wajue sisi ni kina nani [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Nyang’au walituma kijisatellite cha $1,000,000 wakaanza kusema kuwa sisi hatuwezi 😂😂😂😅Wakenya bado njaa inawasumbua. Tanzania tumeanza project ya Space exploration. Nitawapatia details za project hiyo. Plan ni 2025 kuweza kutuma kifaa kwenye orbit earth. Mwaka 2027 ni kufika kwenye mwezi na mwaka 2030 kufika kwenye sayari ya mars.
Nitawapatia kwa undani zaidi. Kuhusu hiyo project. Mimi ni mmoja wa team hiyo.
Hiyo GDP imewasaidia nini kwenye kuondoa njaa!?Mbona hamjatupita kwenye GDP? Mna maringo mingi ya bure tu.
Hiyo satellite wala siyo yao. Ilirushwa toka Japan.Nyang’au walituma kijisatellite cha $1,000,000 wakaanza kusema kuwa sisi hatuwezi 😂😂😂😅
Tushawapita kitambo tunasubiri makaratasi kubadilika tu, hv Tony ngj nikuulize swali, hv kwa nondo zilizowekwa humu na umezishuhudia ww mwenyewe je unahisi kati ya Tz na Kenya ipi ni developed country kuliko mwenzie?Mbona hamjatupita kwenye GDP? Mna maringo mingi ya bure tu.
Hiv Kuna mkenya anaweza kumtuliza mbongo kuhusu suala la kiswahili wewe.? Mnajua hata upatanisho wa kisarufi.? Unajua lahaja la usanifishaji wa lugha ya kiswahili wew mbuzi.?Umeona sasa vile unaujinga, kenya mkoa wote wa pwani jamaa wanapiga kiswahili safi hta kuliko mikoa mingi tanzania..
Watz wangapi huku huaga wanarekebishwa wanapoleta ujuaji hadi mtu anaamua kuufyata..
Manake utakuta jamaa kaja na mbwembwe mwisho anatulizwa hadi nacheka sana..
Usisahau tulizima mapinduzi ya kumuondoa René, kule Seychelles yaliyokuwa sponsored na South Africa 1981.hamtakaa muone Tanzania ikianika mambo yake ya kijeshi hadharani, vita ni mipango na si makelele ya kwenye mitandao;
Baadhi ya vita Tanzania-JWTZ ilizopigana;
1.Kagera war 1978-1979- VICTORY
2. Mozambican war 1977-1988 -VICTORY
3. Uganda bush war 1980-1986 - VICTORY
3. Invasion of Anjouan-Commoro- 2008-VICTORY
4.M23 Rebellion-2003-VICTORY
5. ADF Insurgency - ongoing