A bunch of excuses just to prove your wrong doingWe critic everything here, sio nyie mnadanganywa na kupiga makofi. Hiyo SGR wakenya wengi hawakuitaka hadi waleo ndio maana utapata wanaiponda sana!
Lakini kutotosheka ni tabia ya Africa, wa Morocco niliona documentary kwa Aljazeera, hawataki hiyo speed train yao, wanaona eti ni white elephant and it was not necessary na ni expensive kwa raiya wa kawaida, Nigeria wanalia eti walioshwa tafuta video YouTube, wanasifu ya Kenya na Kenya wanasifu Ethiopia, Ethiopia walichoka na yao ya kukwama kwama juu ya unstable umeme, wako tu proud na commuter train. , So sishangai mimi., Nangoja yenyu an already white elephant before it starts!
Unatuambia ile project ya mchina amabayo atawakamua miaka 30 bila huruma 😅😅 ila uhuru kaua kenya maskini ya Mungu2022 tutajua mbivu na mbichi., Many projects between Nai n Dar zitakua zimekamilika.,
Tena hio express ngoja uone dhiki yake ambayi mchina atawafanya kwa muda wa miaka 30 hawatokaa kusahau 😅😅😅 hapo tayar mchina kashatengeza ajira kwa watu wake kusimamia huo mradi kwa miaka 30 huku wakenya wakiumiaNyie mna projects gn za ku compare na Tz, au ndo expressway ambayo mnapost humu 24/7[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Munachekesha walionuna mzee😂😂😂Umetoa povu nzito ya Omo. Tulia mzee.
Lakini google earth haijui sindio😂😂😂 yani ww unaakili kuliko google earth haya ndio maajabu mm hua naona kwa wakenyaDar ndio pekee ya maana ndio maana mmejazana making it look like a big slum, Mwanza city ya pili looks funny imechoka na aibu kuonyesha watu[emoji1787][emoji23][emoji23] raiya wa kawaida pale kazi za kujituma ni zile za chini sana hard to make it big pengine uangukie mgodi [emoji23][emoji23] napaelewa sana, the filthy rich ndio are calling the shots., Kuja nchi ya kibepari ujitume ufaulu.,
Nimekwambia prof lumumba aliongelea kua GDP haikai kwenye makaratasi 😂😂 kwani zile nyege ulikua nazo hazijaisha, tatizo unadakia kila kitu kwa mbele bila kusoma kwa umakini punguza nyege kenge weweProf Lumumba amekuwa mchumi tena? Wewe ni bangi gani unavuta?
Naona munapeana matumaini sasa 🤣🤣 haya piganeni na mabusu sasaThey only cherry pick kwa mitandao what agrees with their skewed reasoning, can't reason objectively and intellectually., lower your argument to their level. Kuja pole pole tu , and have fun[emoji23][emoji23]
Hawana kitu watapost zaidi ya mradi wa mchina ambao unaenda kua kaa la moto muda sio mrefu kwa miaka 30 😂😂😂[emoji23][emoji23]sikuhiz kuanzia jtatu hadi jpil mradi wanaoupost sana ndo huu mmoja... sisi kila mkoa kuanzia kaskazin Mwanza hadi kusini Mtwara, kuanzia mashariki Dar hadi magharibi Kigoma tuna miradi mingi tu ya billions dollars [emoji385]
Mtaoona itakavyotamba kwa vile limetajwa taifa kubwa Tanzania.[emoji1787]naona majirani mmechoka mpka mnatuombea majanga nasisi sasa
Ni DM nikufunze maana ya PPP vs direct loan or funding, what it does to National treasury., pros n cons, uwezi linganisha na mkopo., Wewe kazi ni kulazimisha fikra zako finyu, wacha ianze kazi uone., na bei yake pia, then compare na loan. Mvivu najua hautamani kupata na kuelewa how the thing works and it's benefits over the conventional loan uptake, ,ukweli najua haupendi.[emoji23][emoji23][emoji23] Kama account haukufunga na expressway inajengwa wewe mwehu kweli[emoji23] nakumbuka ukiniambia "haitajengwa bro...ndafunga account"., nikapinga ukasema "Basi nionyeshe billboard wenzako wameshindwa....hiyo haijengwi" Kenya ain't Tz., will never be.Tena hio express ngoja uone dhiki yake ambayi mchina atawafanya kwa muda wa miaka 30 hawatokaa kusahau [emoji28][emoji28][emoji28] hapo tayar mchina kashatengeza ajira kwa watu wake kusimamia huo mradi kwa miaka 30 huku wakenya wakiumia
Imefunguliwa thread yake to rub it on your face, pole kaka ni Kenya. Na bado Mombasa ni kimya kimya what u don't see outside Dar city[emoji23][emoji23] bro 2022 kwa majaliwa ya Maulana Mombasa itakutesa zaidi Mr. Dar baby[emoji1787][emoji1787]Hawana kitu watapost zaidi ya mradi wa mchina ambao unaenda kua kaa la moto muda sio mrefu kwa miaka 30 [emoji23][emoji23][emoji23]
Pockets I can put a finger, weka aerial view around those places utaona clear., while in Dar low life imetapakaa kote kote! Ukweli na ichoboy01 ni kama maji na mafuta[emoji23][emoji23][emoji1787]., sehemu kubwa ya jiji la Dar have a poor village look standards, walala hoi ni almost 90% na maisha ya kishamba shamba tu.,[emoji23][emoji23][emoji1787]Lakini google earth haijui sindio[emoji23][emoji23][emoji23] yani ww unaakili kuliko google earth haya ndio maajabu mm hua naona kwa wakenya
View attachment 1688497View attachment 1688500
Afrika ndo tumefika huku tunazindua mpk mifugo, hahahahaaa Magu huyu kaleta balaa [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Hivi huoni wanalaunch ndama? [emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]