Ngokongosha
JF-Expert Member
- Feb 9, 2011
- 3,400
- 7,610
Tena huyu daktari kaajiriwa majuzi tu, hajafanya kazi hata mwaka mmoja anaongelea maslahi. Hii tabia wanaenda kujiwekea matatizo itatungwa sheria ya kuwabana watu pindi wanapoajiriwa serikali I.Wewe ni mfanyakazi wa serikalini!?
Ulipokuwa unaenda kuajiliwa hukujua mshahara wa serikali. Hebu ndugu usituchoshe kwenye hii battle.
Dadako anaenda kuzalishwa!Eti Tanzania wana madem. Simba mwenyewe akakosa nyama kawinda Kenya!! Mtaambia nini watu.
I love the bangle on her wrist.
View attachment 1690313
Huyo daktari hata mwaka hajamaliza kakimbia huyo achunguzwe tu, haja qualify hata kwa annual increment yoyote.Kuna wadau hawajui Au wanafanya kusudi...
Mtumishi anatakiwa kupata annual increment hawapati,anatakiwa kupata posho muda wa ziada wa kazi (hapa walau zinatoka),Anatakiwa kupanda cheo baada ya miaka minne hapa kuna Ambao hawajapanda na wameajiriwa 2014...zimepigwa pin na namba 1....Sasa mtu akijiongeza mkwara mzito
Watu wanaanza kusahau zamani unafunga safari kutoka mikoani kwenda dar kwa ajili ya MRA, mishahara ya miezi kadhaa inakatika hapa.Tatizo mkiongea tu mtajiona mko sahihi, ukiwa na hela hii kauli mbaya, ila siku ukijikuta unauwezo tu wa kwenda government hospitalz halaf huyo doctor hayupo ndio utaelewa kinachosemwa hapa, sio kila kitu lazima kiwe na maslahi kwako ndio kamaanisha hivyo, Point ni kwamba mtizamo usiwe tu maslahi, bali kuna kipindi mtatakiwa kujitoa ninyi, mfano, Wapo watu wanafanya kazi kuliko hata mawaziri pengine, lkn hatuwaoni ila they suffer for the benefit of others, asa ukikaa kuangalia matawi ya kauli hii bila kuchimba lengo, utakuwa ni zaid ya asiyefikiri vema.
Hawa watu wamesahau kuwa Magu alikuja kuokoa hii nchi ikiwa inaenda pabaya na moja wapo ya njia ya kuiokoa ni kupunguza gharama itakayosababisha watu tupitie kipindi cha kuweka bata pembeni kwa maslah ya baadae na mara nyingi tumekua tukifananisha hili swala na jinsi wachina walivyoteseka kipindi fulani. Sasa wengine wanataka wao wale bata huku wengine wakijibana. Watu tungepewa mihela hovyo kama kipindi cha Kikwete tusingeweza kufanya hizi projects tunazokua nazo proudAcha ushabiki,, usio na tija, kua sasa sio kila kitu kurukia tu, yaani mfano madaktari bingwa wa kenya waajiriwe uganda mtafurahi?? Sometimes unawabana wachache kwa faida ya wengi
Simba piga mbupu mkunyaEti Tanzania wana madem. Simba mwenyewe akakosa nyama kawinda Kenya!! Mtaambia nini watu.
I love the bangle on her wrist.
View attachment 1690313
Hivi ushavuta picha anavyogeuzwageuzwa wakati anapopigwa mbupu? hongera zimfikie SimbaEti Tanzania wana madem. Simba mwenyewe akakosa nyama kawinda Kenya!! Mtaambia nini watu.
I love the bangle on her wrist.
View attachment 1690313
Sure, Magu alivyopata uraisi tu 2015 aliwapunguzia muda wa kufanya kazi ili wapate muda wa kutosha kwenye kufanya kazi za pembeni kwenye hospitali binafsi na wote tunawajua wataalam kibao wa private ambao wanafanya pande zote mbili halafu mwingine analeta uselfish na kwenda full time privateTena huyu daktari kaajiriwa majuzi tu, hajafanya kazi hata mwaka mmoja anaongelea maslahi. Hii tabia wanaenda kujiwekea matatizo itatungwa sheria ya kuwabana watu pindi wanapoajiriwa serikali I.
Eswatini ni kama wilaya Tanzania, Kenya inazidi Tanzania kwenye sugar importation
Ikishakua complete phases zote ndio itakua kubwa kwa kiwango hicho ila kwa sasa Lamu haina tofauti na Mbamba BayUmeitisha credible source, infact wewe unataka tu KPA, hutaki source ingine. Nimeipata. Kabla nilale wacha nikupe evidence. Lakini baada ya kusoma hii evidence na kugundua kwamba Lamu port itakuwa kubwa kushinda Dar port, tafadhali usikae kimya. Kuja ukubali kwamba Lamu port ni kubwa kushinda port yoyote ile Tanzania. Infact Lamu port ina capacity kubwa kushinda port zote za Tanzania combined. Kama unapinga hili kuja battle, niko tayari.
Anyway ndio hii evidence. Nimeitoa kwa handbook ya KPA ya 2020. Hii ni screenshot ya page 48. Angalia paragragh 5 line 2.
View attachment 1690274
Na kama unataka link ya hio handbook ya KPA, ndio hii hapa
Kenya Ports Authority Handbook 2020
The latest edition of the Kenya Ports Handbook is published today on behalf of the Kenya Ports Authority.issuu.com
Unaongelea kitu gani sasa?Mzee baba, umetisha aisee..
Yani ningelikua na uwezo ningetuma payslips za wale wanalfanya na mashirika ya yasiokua ya serekali, yani utafurahi..
Jamaa anakupigia laki na nusu kila mwezi na wakati huku serekalini kazi hyo hyo hata laki mshahara ni majanga kufika
Anyway, nashukuru kwamba umeelewa kwamba Lamu port will be handling 1.2 million teus na sio 1.2 million tonnes. Siku nyingine usiwahi tena kuilinganisha Mtwara port na Lamu port. Lamu port ina capacity ya kuhandle more cargo than all your ports combined. Lamu port itakuwa na capacity ya kuhandle 28.8 million tonnes while all Tanzania's ports in 2019 handled slightly less than 17 million tonnes of cargo.Inaenda mwaka wa 10 Lamu port 3 berths r not completed! Aside the fact the 3 berths will not have ability to receive oil cargo!
Umepata wapi hizo 28 tonnes ilizo handle 2019 uje ulinganishe na za Tz.Anyway, nashukuru kwamba umeelewa kwamba Lamu port will be handling 1.2 million teus na sio 1.2 million tonnes. Siku nyingine usiwahi tena kuilinganisha Mtwara port na Lamu port. Lamu port ina capacity ya kuhandle more cargo than all your ports combined. Lamu port itakuwa na capacity ya kuhandle 28.8 million tonnes while all Tanzania's ports in 2019 handled slightly less than 17 million tonnes of cargo.
Mtwara Port Double Cargo Handling in 2019/20
The volume of cargo handled at the Mtwara port more than doubled in 2019/20 from 106.2 thousand tonnes to 273.5 thousand tonnes (+2.3%).www.tanzaniainvest.com
Lamu port pekee inafunika port zenu zote kwa capacity. Halafu Lamu port haijajengwa kwa miaka kumi. Construction ilianza December 2016. Wewe unatumia ile kigezo cha rais Kibaki kuzindua Lapsset in 2012 kama kigezo cha start date ya construction. 2012 kilichozinduliwa ni Lapsset corridor masterplan. Lakini ujenzi wa hizi berths 3 zilianza in December 2016. Soma hapa
Lamu Port, Kenya
Lamu port is a new deep sea port being developed by Kenya Ports Authority (KPA) in Manda Bay, Lamu County, Kenya for creating a regional transport hub.www.ship-technology.com
Ikiwa complete phases zote itahandle 20 million teus. Yaani wewe ni nyumbu kiasi cha kwamba ninakupa credible source usome na unashindwa kabisa kusoma. chongchung Nimekupa handbook ya KPA ya 2020 na nikakupa hata page, paragraph na laini usome na umeshindwa?Ikishakua complete phases zote ndio itakua kubwa kwa kiwango hicho ila kwa sasa Lamu haina tofauti na Mbamba Bay
Tunaongea kuhusu capacity ya Lamu port. Hatuongei kuhusu mizigo iliyohandle.Umepata wapi hizo 28 tonnes ilizo handle 2019 uje ulinganishe na za Tz.
Ni navyojua mimi lamu port mpaka sasa haijawahi handle hata 1kg.