Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Chapati zenyewe huwa ni ngumu kuliko maisha yao.

Ukioa kenya inabidi umpeleke short course ya upishi pale the Amazon college [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Aafu kuna andazi upepo sijui kazi ya Amira au pump 🤣maana ndani huwa imejaa hewa🙂Kula msosi wa maana Kenya gharama🙂
 
Chapati zenyewe huwa ni ngumu kuliko maisha yao.

Ukioa kenya inabidi umpeleke short course ya upishi pale the Amazon college [emoji23][emoji23][emoji23]
ASA kama ugali wa kawaida kuusonga mtihani kwa wengi sijui ukimpeleka kwa kuria na wasimbiti ugali wa muogo na udaga yarabi sijui inakuaje🤣mwisho wa siku mtoto wa watu anashushiwa kipigo🙄maana wale watu huaga hawachelewi na hawapendi masiala utaskia mura huyu vp🙂
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] world bank wamesingiziwa na wamekaa kimya
Acha upuuzi we ni mtu mzima, kuna ishu zingine mtu huaga unalenga tu..

Wakati mwngine kaa ukijishtukizia we jamaa sio kila kitu unaona ligi huju ukijaza vi emojis
 
K = Kula

E = Ela ya

NYA = Nyani



[emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205][emoji205][emoji205][emoji205][emoji205][emoji205][emoji205][emoji205][emoji205]
 
Umekuja kuendeleza upupu na wewe, haya beba endelea kuwehuka jitoe ufahamu kabisa mwisho utapewa taji
Usinilete hasira zako mm syo WB[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…