Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwa kauli hii mana ake umeshatii kuhusu football clubs so case closed, ongelea mbio [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Majivuno tu haya lakini tukifika uwanjani nyang'au huwa tunawatandika vibaya sana. Kwenye Cecafa tumezoea kuwapiga kama watoto wetu.
 
Kw kenya timu ambayo inatoa uzi ambao sio kanjanja naweza sema wazito fc..

Mi nimevaa jezi sana, uzi km ni wa kiboya naujua tuView attachment 1695636View attachment 1695637
tokalini wakunya wakajua kuvaa wewe?
yan nyie mnauhaba na vitu vizuri so hamjui vizuri vinafananaje πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™‰πŸ™‰πŸ™‰πŸ™‰πŸ™‰πŸ™‰πŸ™‰πŸ™‰πŸ‘ˆ
 
Roho zao mbaya/nyeusi kama sura zao zilivyoo.
Kwenye maeneo mengi tz ya mipaka utakuta wakenya kibao wanafanya shughuli/makazi bila hata vibali lakini wa tz hatuwachomi tunakanao kama ndugu.
Ni rahic sana mtz kumchomea myarwanda, waethiopia kuliko mkenya lakini ni tofauti sana wanavyotuchukulia tukiwa kunya land
 
Eti mlengo wa kisiasa[emoji1787][emoji23] the dude is totally objective, wacha lame excuse, move on peacefully.
 
Umesema ukweli asee
 
Huo
Eti mlengo wa kisiasa[emoji1787][emoji23] the dude is totally objective, wacha lame excuse, move on peacefully.
Uliopewa ndio ukweli mzee.upinzani wa bongo now upo negative sana kiufupi haulitakii mema taifa letu kwahyo hautawahi kuona wakisifu hata mzee afanye mema yepi. Kwakifupi upinzan kwa tz ni upuuzi tu kama kutembea uchi na aina zingine za upuuzi unazozijua
 
. Bora ya Egypt inaejitahid kuendana na dunia, EA unafki na kujisifia kwingi πŸ˜‚πŸ˜‚ Kenyans wa kutumia vizuri adjective mpo.? (The biggest.. in Africa πŸ˜‚πŸ˜‚ the most beautiful what not in Africa πŸ˜‚πŸ˜‚ the longest I don't in Africa πŸ˜‚ πŸ˜‚πŸ˜‚ ) jirani mnafurahisha sana .ukija ground Ni vumbi tu The best 007 sema na ndugu zako hao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…