Hujajibu swali langu [emoji16][emoji16][emoji16] hao ni Adidas?Jersey zenu hata sticker hazina alafu unakuja kuulizia adidas[emoji1787][emoji1787]
Huyu ndo jamaa aliwakia wakina- Tony254 amewajengea Chinese first class!Hapana huyo China co wa kujilinganisha naye mkuu, huyo anawanyorosha mpk wazungu sembuse sisi [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
hatari sana hao watotokomora096 nawe jipatie yako, sema ss shida ni kwamba weusi ulionao umevuka kipimo sidhani kama utapendeza, ila huu uzi haumkatai demu [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]View attachment 1695641View attachment 1695642View attachment 1695643View attachment 1695644View attachment 1695645View attachment 1695646
Nyinyi huwa Mkiambiwa ukweli huwa mnaanza kunyamba nyamba na kulialia. Kuweni strong.Yosef festo alikuambia uwache kuwa na hatred za kipuuzi naona bado inakusumbua.
Yaani Geza nyinyi pia mna Wasomali huko Tanzania? Dadeki. Sikujua hili.
Umenielewa komora, koma kabisa kuongelea kikawaida kawaida tm ya Tz, we are too far from you [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Wewe tatizo lako ni kwamba wewe sio mwepesi wa kuelewa mambo. Sasa Tanga itakuwaje the biggest port in East Africa? Itashindaje port of Mombasa kwa weight of cargo handled? Hata tukiconvert lita za mafuta zitakazopitia port of Tanga from litres into tonnes bado port of Tanga haitafikia port of Mombasa in terms of tonnage of cargo handled. So in terms of tonnage of cargo handled, Mombasa ni King leo na itazidi kuwa King hata siku za usoni hata wakati EACOP itakapoanza kufanya kazi. Hata siku za usoni Mombasa bado itakuwa inahandle more tonnes than Tanga. Na ukubwa wa port huwa inapimwa aidha na tonnes handled au TEUs handled.
MYTAKE
Majirani wakiambiwa Tanga port is poised to be the largest port in the region hupiga njuru ya kukataa! Ila ukweli utajulika mwaka huu in the first half pale ujenzi wa EACOP utakapoanza! hii gas pipeline ya kutoka Dar-Tanga-Mwanza nadhani GoT inaweza kuchukua loan maana so far debt to GDP ratio ipo chini ya 35%!
CC: Tony254
tunao sio wa Asili lakini bali kuna wiliohamia Tanzania toka miaka ya 1970 wengine wako Sumbawanga ila hatuna kabila la Kisomali! na huyu ni Myamwezi wa Kisomali toka Nzega na ni Naibu Waziri wa Kilimo! Vp roho inakuuma?Yaani Geza nyinyi pia mna Wasomali huko Tanzania? Dadeki. Sikujua hili.
The best 007 yaani mna Wasomali huko na mbona sikuwa nalifahamu jambo hilo?
Utajuaje wakati sisi hatuangalii kabila Wala rangi ya mtu ...si tunamjua ni mtz na amezaliwa tz hayo mambo ya huyu msomali sijui mhindi endelezeni kwenu huko sio tz[emoji23][emoji23][emoji23]Yaani Geza nyinyi pia mna Wasomali huko Tanzania? Dadeki. Sikujua hili.
The best 007 yaani mna Wasomali huko na mbona sikuwa nalifahamu jambo hilo?
Asante. Nimejifunza jambo mpya leo.tunao sio wa Asili lakini bali kuna wiliohamia Tanzania toka miaka ya 1970 wengine wako Sumbawanga ila hatuna kabila la Kisomali! na huyu ni Myamwezi wa Kisomali toka Nzega na ni Naibu Waziri wa Kilimo! Vp roho inakuuma?
Karibu nime-save mlipuko wa mnyambo wa shuzi la ukabila lenye chembechembe la mharo!Asante. Nimejifunza jambo mpya leo.
Hebu tulinganishe Yanga vs Gor Mahia[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]View attachment 1695611View attachment 1695612View attachment 1695613View attachment 1695614
Kama utalipenda hili dera njoo pm nakutumia buree huko msaHahaha