Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Waturuki wanachekesha, hivi waliamua kabisa, termination ya rail iwe bridge???? Tena katikati ya tao!!!!!!

Na hivi vibanda vichafu karibu na "Three blue towers" za nini!? Au ni factory!??
Kwamba unataka tufanane au sio [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3]
 
Amerika records helkopta accidents nearly on weekly basis
🀣🀣🀣🀣 shida mlionayo nyinyi nikujifananisha na mataifa yaliyo mbele yenu miaka 300 yani hii ndio kitu inawafanya munakua maskini
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] shida mlionayo nyinyi nikujifananisha na mataifa yaliyo mbele yenu miaka 300 yani hii ndio kitu inawafanya munakua maskini
Kwn nchi zilizoendelea kwao ndio hazifai kuanguka[emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…