SawaHivi vitu ni personal sn nmeweka ili kumuonesha mkuu lusematic kwmb nilikwenda kuangalia maendeleo, ukiweka humu watu wanaweza kuku trace, unajua sisi tupo humu jf katika majukwaa mengi na tuna maadui wengi mkuu.
Hapo ni makao makuu ya dawasa pembeni mwa chuo chao cha majiHii tower ipo pembezoni mwa ubungo interchange, ipo kwenye cladding stage.View attachment 1709743View attachment 1709744
Hapo kumekuwa pazuri hatari zamani palikua pana bonge la bonde mafuriko kama yote... na ndo wataweka gas filling station pa1 na kituo kipya cha mwendokasi..Wakuu hii nchi inajengwa asikwambie mtu, wacha hawa viongozi wapumbavu wastaafu wamchukie Magu mana anawachoresha sn wanaonekana hakuna walichokuwa wanakifanya ofisini, hii hapa ni road ipo pale ubungo mawasiliano (nyuma ya ubungo interchange) mbele yake kuna bridge nimeweka hapo picha[emoji116][emoji116]View attachment 1709737View attachment 1709738View attachment 1709739View attachment 1709740View attachment 1709741
Nimeangalia ile mitaro imewekwa hapo kaka ni hatari, kwenye hilo shimo unaona hapo pembeni ndipo kuna mitaro mikubwa mno mnaweza kuingia watu kumi mmebebana na wajuu asiotoke nje kirahisi.Hapo kumekuwa pazuri hatari zamani palikua pana bonge la bonde mafuriko kama yote... na ndo wataweka gas filling station pa1 na kituo kipya cha mwendokasi..
Kituo cha mwendokasi na hiyo gas filling station nadhani vitajengwa pembeni kdg mbele ya hapo kwenye hyo picha kulia, Mana nmeona eneo limeshawekwa tayari na kuna vifusi ndani na ni eneo kubwa, nilisahau kupiga picha.Hapo kumekuwa pazuri hatari zamani palikua pana bonge la bonde mafuriko kama yote... na ndo wataweka gas filling station pa1 na kituo kipya cha mwendokasi..
ngoma ipo fresh classic hakuna mambo mengi...Mkuu umeshaona progress? Ss naifuta [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Na kunapendeza kweli yaani mimi mwenyewe nkipataga time huwa napita hapo kupaangalia tuNimeangalia ile mitaro imewekwa hapo kaka ni hatari, kwenye hilo shimo unaona hapo pembeni ndipo kuna mitaro mikubwa mno mnaweza kuingia watu kumi mmebebana na wajuu asiotoke nje kirahisi.View attachment 1709800
kuna watu huwa wanauliza majority ya wakazi wa dsm wanaishi wapi!!!!Nilitaka niwaoneshe Wakenya kwamba ni ngumu sana kupata slums Dar au Tz cz Watz wanajenga, hapa ni Kivule which is too far from CBD lkn kumewaka kwa vijumba vzr vzr, bado nina tour ya kule kivule nitaweka hapa picha mzione [emoji116][emoji116]View attachment 1709752View attachment 1709753View attachment 1709754View attachment 1709755View attachment 1709756View attachment 1709757View attachment 1709758View attachment 1709759
Kivule kumetulia sanaNilitaka niwaoneshe Wakenya kwamba ni ngumu sana kupata slums Dar au Tz cz Watz wanajenga, hapa ni Kivule which is too far from CBD lkn kumewaka kwa vijumba vzr vzr, bado nina tour ya kule kivule nitaweka hapa picha mzione [emoji116][emoji116]View attachment 1709752View attachment 1709753View attachment 1709754View attachment 1709755View attachment 1709756View attachment 1709757View attachment 1709758View attachment 1709759
Ss waache hawa wakunya wa humu waendelee kujifariji siku wakistuka watakuta Tz inakaa Western Europe [emoji3][emoji3][emoji3]Na kunapendeza kweli yaani mimi mwenyewe nkipataga time huwa napita hapo kupaangalia tu
Kupo vizuri sn mkuu maeneo makubwa spaces zipo na barabara za kutoka zimeachwa, hofu yng watu wakishavamia itakuwa yale yale ya unplanned settlement mana Govt yetu kwenye suala la kupanga miji haiko sawa.Kivule kumetulia sana
Ilo tower ni la haohao wachinaHii tower ipo pembezoni mwa ubungo interchange, ipo kwenye cladding stage.View attachment 1709743View attachment 1709744
Ilo tower ni la haohao wachina
nachelea kusema i can identify a smart person when i see one mdogoangu anafanya uchumi mlimani natamani aje awe na alaytical mind kama hii yako, kongole kwako kakaIssue ya SGR lot ya Dar - Moro inahitaji busara ya hali ya juu. Kwa vyovyote vile huenda mkandarasi keshatumia gharama zaidi ya alizitarajia au anakwepa kuvuka ukomo wa gharama. Acha tuitumie kama learning point. Binafsi sitashangaa kama akipewa lot 3 baada ya kukamilisha lot 1.
Akili zako tena zipo kweli, always in denial[emoji1787][emoji1787]Ubabe upi kwa mfano, nani kakataa km ugonjwa haupo? Mwanzoni tuliumaliza ila umerudi tena cz hatuwezi kuacha kufanya mambo ya kiuchumi eti kwasabu ya corona, hatuwezi kuacha kupokea watalii na wageni wanaotuletea millions of dollars eti kwasabu ya corona, so in that way ugonjwa umerudi ila kwa sasa umerudi kwa adabu cz no one cares about it, upo na watu hatuvai barakoa na tutaumaliza mapema kuliko kipindi unaingia, hv ninavyokuambia umeshaanza kupotea.
Mpeni assad kiti manake ni jamaa wa kutetea ukwel na wala haogopiHuwezi kuona shida ya educational system ya kenya cz huwezi kuona msitu ukiwa ndani yake lazima utoke nje, na kiongozi mfano wa Nyerere hamuwezi kumpata cz wako wachache labda mngempa PLO Lumumba cz ndio waafrika wachache waliobaki wenye elements za kina Nyerere km Magufuli, lkn huyo Lumumba msingeweza kumpa hata kama angegombea kwasabu ni mjaluo.
jamaa katisha sn ndo mara ya kwanza nasoma post zake nkaona uyu kichwa kweli kweliHahahahaaaaa mkuu upo vzr sn upstair.
Hehehehee we kwa kulopoka hujambo, ss Assad na siasa wapi na wapi, mm nme suggest mumpe PLO kwasababu nyie hamjapata bado kiongozi mwenye uzalendo na Kenya na hata hawa wapuuzi wanaotajwa tajwa kumlithi Uhunye pia hamna kitu.Mpeni assad kiti manake ni jamaa wa kutetea ukwel na wala haogopi