Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

2017 below poverty line in tanzania ni 26% naomba tupate ya kenya ya 2017 na kama itakua below 26% mm nafunga acc jamii forum sasa hvi πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
 
Kiongozi anajisifu moja ya mafanikio ni kumwalika Obama, so what?
Bunge langu Spika alikuwa mwanamke,
 
Acha wivu mzeeπŸ™‚hakuna mji wowote ule wa Kenya unalingana na miji ya Tanzania kwa usafi na mpangilio hata wewe unajua hilo sishangai ukichukiaπŸ™‚
Ati mpangilio? Ebu kuwa serious banaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£
 
2017 below poverty line in tanzania ni 26% naomba tupate ya kenya ya 2017 na kama itakua below 26% mm nafunga acc jamii forum sasa hvi πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
Mbona utafute ya 2017 wakati latest data ni 2020?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡


 

Attachments

  • Screenshot_20210223-225324_DuckDuckGo.jpg
    56.5 KB · Views: 28
  • Screenshot_20210223-225244_DuckDuckGo.jpg
    97.6 KB · Views: 28
  • Screenshot_20210223-225045_DuckDuckGo.jpg
    50.6 KB · Views: 25
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…