Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hapa kwa maji huwa mumejikakamua sana.
 


Take it from me people. Viongozi wanaoweza simamia haya ndani ya kipindi kifupi kama hiki siyo wengi kihivyo. Tusijidanganye na stori za sijui democracy.

Kama mtu anaweza ongoza 10 years why not 15? Kwani wapi tuliipata hiyo SI Unit ya 10 years? Tuzudi kumwombea uzima huyu jamaa. I don't care hata Chato ikifanywa kuwa sijui mini-capitol.

Akitoka huyu bwana 2025 ikaja small mind kama kadhaa zilizopita, situation itakuwa mbaya kuliko ilivyokuwa wakati anaingia huyu genius.
 
Dar hamna udongo mwekundu fala wewe! Hizo picha si Dar!

Hiyo ni Soweto!
https://www.pinterest.com/pin//
 
Kwa sababu unajifanya mjanja. Hii picha ni ya wapi?
View attachment 1712440
sio dar hamna udongo mwekundu Dar mshenzi kama wewe ka-crop somewhere akaondoa background! 100% hii picha si Dar! Inakaa Nairobi-Kibera! Angalia zinavyofanana


VS











Dar ipo hivi udongo wake!




 
Na haya ndio mambo ambayo majirani wanajaa kwenye plan kiulani
 
Hongera kwa kuweka picha za Mozambique [emoji2]
Da hatuna udongo WA hivo
Nairobi hii hapa[emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 1712444View attachment 1712445View attachment 1712446
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…