Kumbe uko huku, the way to go, financial markets ni league yangu. Safi sana! No limitations [emoji123]View attachment 1716601
Wanazengo 2010 bitcoin ilikuwa $0.08 leo inacheza kwenye $50K π. Kama ulichelewa kuingia kununua bitcoin usijali, Dongecoin ni crypto mpya na sasa inacheza kwenye $0.05 (Tsh 115). Elon Musk alishaiongelea hivi karibuni, italipuka muda si mrefu.
Mwenye masikio na asikie.
Lete hilo fumbo acha porojoUtaelewaje wakati hujui Biblia ni kitabu cha mafumbo?
Si huwa mnasema Watanzania hawafahamu hizo crypto?Kumbe uko huku, the way to go, financial markets bi league yangu. Safi sana! No limitations [emoji123]
Nickel smelter to employ 3,000 from Ngara and Kahama districts
ippmedia.com/en/news/nickel-smelter-employ-3000-ngara-and-kahama-districts
March 3, 2021
03Mar 2021
Correspondent
Kahama
News
The Guardian
Nickel smelter to employ 3,000 from Ngara and Kahama districts
MORE than 3,000 residents of Ngara and Kahama districts are expected to be employed by the nickel smelting plant to be built at Buzwagi Gold Mine in Kahama District, Shinyanga Region.
The nickel smelter is expected to be built by Tembo Nickel mining firm in Ngara District, Kagera Region.
This was revealed on Monday by a team of government experts and the investor, Tembo Nickel who visited Kahama District to survey the area for the construction of the smelter that would be mined in Ngara District, Kagera Region.
Kabanga nickel executive officer Chris Showalter said upon completion the smelter will employ over 3,000 people, 2,000 of them from Ngara District.
Tanzania Commissioner for Mining Prof Abdklukarim Mruma who led the team of mining experts from the Minstry of Minerals said the government has provided an investment area at Buzwagi Gold Mine to facilitate transport of the nickel at the smelter.
Shinyanga Regional Commissioner Zainab Telack said the government has allocated four areas for the construction nickel smelting plants and what remains is for the investor to choose one of them.
General manager of Bulyanhulu and Buzwadi Gold Mines Benedict Busunzu praised Tembo Nickel for mining the mineral from Kabanga area in Ngara District in Kagera Region and for the decision to construct the smelting plant.
Powered by PrintFriendly.com
Kuna mtu anasubiri umeme uwe idleπ

Akileta nitag.Hebu leta kifungu kinachosema Mungu husaidia mtu anayejisaidia.
Mcorinthian kweli [emoji23][emoji23][emoji23][emoji91]., Kumbe watu hapa ni wahubiri,[emoji848][emoji848].., mbona petero kazama[emoji848].,hizo bado ni principle za wahaba wa imani.
nikuulize swali,wakati Yesu anatembea juu ya maji alitumia nini ili asizame!!!kwanini petro alipojaribu alipiga mbili kisha akazama???
sikia nikwambie wewe mwenye imani duni(maana hata si haba),imani ni zaidi ya upeo wa kawaida wa kufikiri,ni nje kabisa ya principle za kimwili,ndio maana YESU alikaa siku 40 bila kula,ukifanya kwa kuamini kwa jina la Mungu kwamba si lazima ule ili uishi utapitiliza hata hizo siku 40.
unakwenda kanisani kusali maisha yako yakae sawa,kisha unajituma kazini,unadhani tofauti yako na anayefanya kazi kwa bidii bila kusali ni ipi kama sio kakuzidi kujiamini wewe mwoga!!!!
View attachment 1716601
Wanazengo 2010 bitcoin ilikuwa $0.08 leo inacheza kwenye $50K π. Kama ulichelewa kuingia kununua bitcoin usijali, Dongecoin ni crypto mpya na sasa inacheza kwenye $0.05 (Tsh 115). Elon Musk alishaiongelea hivi karibuni, italipuka muda si mrefu.
Mwenye masikio na asikie.
Good looking, like parts of Mombasa tu[emoji123]., nice.
Mwongezee na hiiMe nimekuletea hiki kimoja tu.View attachment 1716186
"Huwa mnasema" ni akina nani? nimeona mnapenda generalizations sana humu, tabia za kipropaganda hizo., Kuna watanzania wanaopenda forex trading kwa wingi., nimepatana nao Mombasa kwa trainings.,Si huwa mnasema Watanzania hawafahamu hizo crypto?
Huwa tabia yenu ni moja na ndio maana tunawajumuisha wote."Huwa mnasema" ni akina nani? nimeona mnapenda generalizations sana humu, tabia za kipropaganda hizo., Kuna watanzania wanaopenda forex trading kwa wingi., nimepatana nao Mombasa kwa trainings.,
Wewe ni short waya., so nyie wote ni wazembe EAC., ata kifikra, unadhihirisha kwa reasoning yako tayari., Mnatia huruma kweli.Huwa tabia yenu ni moja na ndio maana tunawajumuisha wote.
Asante kwa matumaini π€£π€£π€£π€£π€£Good looking, like parts of Mombasa tu[emoji123]., nice.
Sema wakenya ndio hawataki hio NGOs ni nyuma ya pazia ππππNGOs hawataki pipeline yenu ijengwe.
NGOs' pressure on banks threatens $3.5bn pipeline project financing
Over 260 NGOs petition banks to call off financing the $3.5 billion Eacop project with six lenders privately indicating they would walk away.www.theeastafrican.co.ke
...sometimes I hate NGOs for such., mara environmentalists, mara eti human rights activists yet biased.,etc. In most cases they hardly see the bigger picture, ndio maana they are ignored in many instances.NGOs hawataki pipeline yenu ijengwe.
NGOs' pressure on banks threatens $3.5bn pipeline project financing
Over 260 NGOs petition banks to call off financing the $3.5 billion Eacop project with six lenders privately indicating they would walk away.www.theeastafrican.co.ke
Tabia yenu ni moja na ndio maana tunawajumuisha wote.Wewe ni short waya., so nyie wote ni wazembe EAC., ata kifikra, unadhihirisha kwa reasoning yako tayari., Mnatia huruma kweli.
π π π π Sijaona nchi inaisemea tanzania zaidi ya kenya kwa hii africa munashida gani na tanzania nyieEndeleeni kujifanya wajanja. Mtazidi kufa tu.