Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Alifungua nyuzi mbili mod wakazifuta sasa ameona aje kupost humu ili tuone upumbavu wake na upumbavu wa hao wanao zusha.
Yaani ni mpumbavu sijapata ona.
Hii ni khatari Sana Bora tumpotezee asije akatuaribia na sisi hii thread πŸ™‚
 
Thats good maana hata hapa EA sanasana ni KE na TZ kwa Afrika nchi inayo nitisha ni SA na hao arabs ila hao western A wakipatikana members tunafungua battle
Rwanda pia wako vizuri. Ghana ukitoa Accra kwingine ushuzi, Kumasi ni kubwa but imekaa kienyeji kweli.
 
Inaonesha ni jinsi gani wanamuogopa JPM.

Maana ingekuwa hawamuogopi wala usinge waona wakimtaja taja ovyo na kumzushia zushia.
Mie nlishangaa Sana jamaa kwa ground wanamfagilia Sana magu na utendaji wake wa kazi kiufupi media nyingi za Kenya lazima wamtaje maguπŸ™„πŸ™„
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…