Wakenya ukicheza nao watakumaliza kw presha manake sio kw zile tweets za jana aisee
Which better kua na roho mbaya πππMbona iwe chuki ili hali kununua mahindi tanzania ilikua cheaper sahii bei ya unga itapanda kiasi kenya..... even to us it was a hard decision to make but for the better
Wakenya hata huwa wanalemea Wasauzi na Wanigeria kwenye zile battle za twitter. Wanigeria hawataki kabisa hizo battle za twitter wakisikia ni Wakenya wanatoroka. Hata CNN tuliwalazimisha kuomba msamaha waliposema kuwa "Kenya is a hotbed of terror."Wakenya ukicheza nao watakumaliza kw presha manake sio kw zile tweets za jana aisee
Aliwabana kwenye tanzanite πππMimi sijui Magufuli alifanyia nini Wakenya. Hata mimi najiuliza hilo swali.
Bwahaha!!km hostel sio za UDSM unasema tu wala sio kuleta mihemko ya kike hapa..
Unafikiria m nina hisia za kifala km wewe, we km umeshindwa na hoja tua tu..
Mabibo ni za provate sector au za UDSM si unasema tu
Hio ndio official source ???ππππ munahangaika kuzushia watu mumemkosa magu sasa mumeingia kwenye finance minister πππππ hata aibu hamuoniGeza Ulole unaona nilichokuambia. Ukichukulia haya mambo seriously utapata matatizo ya moyo. Sasa inasemekana kwamba waziri wenu wa fedha ameletwa Nairobi kwa sababu ya corona na kwamba yuko kwenye coma. Haya mambo usiyachukulie serious unless walete evidence. Otherwise bila evidence usiichukulie kwa uzito wowote.
Hii ndio official source ππππ magu mumemkosa sasa mumemuandama finance ministerMATAGA hoiyeeeee π€£π€£π€£π€£π€£
Kuna suala la mifugo pia saa hii viwanda vyao vya nyama vinakosa nyama!Aliwabana kwenye tanzanite πππ
Tunacheka vile munahangaika π€£π€£ magu mumemkosa sasa mumemuandama finance minister[emoji23][emoji23][emoji23]jamaa, si mara hii mtaua watu kw presha jamani
Mtakufa kw presha hku watu twitter wakiendelea na yao ya ku post watakavyo tuTunacheka vile munahangaika [emoji1787][emoji1787] magu mumemkosa sasa mumemuandama finance minister
Tunawacheka sana vile mukihangaika yani munahangaika na magufuli kuliko corona ππππMtakufa kw presha hku watu twitter wakiendelea na yao ya ku post watakavyo tu
Bwahahaha!!emu nieleweshe na hapa mjomba, nifafanulie kidogo angalau na mie nipate ufahamu kuhusu [emoji116][emoji116][emoji116]ni za private sector
haha am proud to be tanzanian not east african, but rather african in general.
i might sound pessimistic lakini sitounga mkono kuungana kenya na tanzania nmeishi na nyinyi wakenya nawajua kupitiliza
watanzania wengine wataona ni kheri lakini ni kwasababu hawajaishi na nyinyi tutashindwana mwisho wa siku trust me young man
Level ya kulipia wala hatutofika, hapo umesema kweli..Mombasa likoni itafika hii level lini [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116] View attachment 1721857View attachment 1721858
Ushamjua sasa alielazwa nairobi hospital au bado π€£π€£π€£ππππ[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kashajulikana tayari ni nani π€£π€£π€£π€£π€£ππππππ Tony254 komora096 Yosef Festo haya shangilieni woteeee wa wa wa waaaaaaa
π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£ punguza hasira sasa siongelei mashine za ku scan naongelea hiii ππππππππLevel ya kulipia wala hatutofika, hapo umesema kweli..
Lkn km ni machine za ku scan mbona zipo kitambo tu
Huyo ni rais wa wapiKashajulikana tayari ni nani [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji16] Tony254 komora096 Yosef Festo haya shangilieni woteeee wa wa wa waaaaaaa