Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 76,339
- 107,983
Mwanamziki afuate nn twitter? Youtube ndo kila kitu kwa any artistTwitter ndio kila kitu katika viongozi, punguza hasira lkn we najua kw akili zako umashuhuri ni kuwa followers wengi insta[emoji848]
Ikiwa domo tu anaiwakilisha tz poa lkn twitter milioni inamshinda kufikishaView attachment 1721969
Ndio ujue wabongo atuna shobo na Twitter nyie Twitter mpo wengi tungejua kuwa mnasapoti mziki wetu mngeijaza Twitter ya wasanii wetu acheni kujikweza tunajiweza mafala nyinyiHapo vipi,
Kwanza inatia aibu haswa..yani ndio utajua km hamna lolote zaidi ya umbeaView attachment 1722027View attachment 1722028
Twitter ni sehemu ya kufanya vitu vya ufahamu, insta ni umbea tu..Bro hiyo ni kwasababu insta na YouTube ni ghali sana en u can't afford that's mnaishia uko uko kwenye kitonga .. world Superstars and celebrities sehem yao ya kujidai ni insta mzee . Kwahyo ukisema mtu kuwa maarufu au kutokua maarufu mtandaoni ujue moja kwa moja unazungumzia insta
Bwahaha[emoji1787][emoji1787]acha kulialia hapa nunua bando la kutosha ufurahie dunia ya insta na youtube
Umeona sasa km unajipumbuza tu mzee baba, jaribu kufanya research kwanza jamani usije ukaumbukaMwanamziki afuate nn twitter? Youtube ndo kila kitu kwa any artist
πππππππππmko obsessed na magu sana ππππππ aya mtrendisheni na uharo uhunye sasaUpende usipende, wakenya ndio wamemtrendisha meko tokea jana[emoji1787]
Sasa wewe ukitaka lia
Wakenya tupo kila mahali, na kila sehemu kuna kitu wanafuata..Ndio ujue wabongo atuna shobo na Twitter nyie Twitter mpo wengi tungejua kuwa mnasapoti mziki wetu mngeijaza Twitter ya wasanii wetu acheni kujikweza tunajiweza mafala nyinyi
Twitter ni mtandao kama mitandao mengine ya kijamii (na ni cheap kutumia) kwahyo kuhusu kupost au kutopost embea au taarifa muhimu inategemeana na matumiz ya mtu binafsi ..watu maarufu karibu wote ulimwenguni wanatumia insta . Kwahyo iyo reason yako ni upumbavuTwitter ni sehemu ya kufanya vitu vya ufahamu, insta ni umbea tu..
Hata jiwe analifahamu hilo, akitaka kutuma ujumbe atapost twitter tu wala sio insta
Na magu anawahusu nini au ndio nchi imewashindaWakenya tupo kila mahali, na kila sehemu kuna kitu wanafuata..
Hakuna siku utaona mkenya twitter anangania pages za tz
Naona umeanza kukubali kimya kimya[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mko obsessed na magu sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aya mtrendisheni na uharo uhunye sasa
wasee ya internet penetration πππππππππππππππππππWakenya tupo kila mahali, na kila sehemu kuna kitu wanafuata..
Hakuna siku utaona mkenya twitter anangania pages za tz
Trump alipost lini ujumbe insta, ronaldo tu akitaka kupost jambo la maana haweki insta anakimbilia twitter..Twitter ni mtandao kama mitandao mengine ya kijamii (na ni cheap kutumia) kwahyo kuhusu kupost au kutopost embea au taarifa muhimu inategemeana na matumiz ya mtu binafsi ..watu maarufu karibu wote ulimwenguni wanatumia insta . Kwahyo iyo reason yako ni upumbavu
Hiyo twitter unayo sema kuwa ni sehemu ya kufanya vitu vya ufahamu mbona inaongoza kwa usambazaji wa fake news?Twitter ni sehemu ya kufanya vitu vya ufahamu, insta ni umbea tu..
Hata jiwe analifahamu hilo, akitaka kutuma ujumbe atapost twitter tu wala sio insta
Hoja kwishaawasee ya internet penetration [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
mbona hamupo moyale na marsabit kajazaneni huko mmalize au muitrendishe njaa sasa
Km insta inavyoongoza kw usambazi wa video za ngono na umbea, ndio manake wanaume wengi wanaokesha insta ni wambea..Hiyo twitter unayo sema kuwa ni sehemu ya kufanya vitu vya ufahamu mbona inaongoza kwa usambazaji wa fake news?
(Najua hutonipa jibu la kueleweka zaidi ya kuandika ujinga)
Kiswahili kigumu au .. soma tena nilichoandika . Au nikusaidie na word to word translation.?? Au nikupe assignment ukafanye na wenzako .?? "Kupost au kutopost umbea au taarifa muhimu ni maamuzi ya mtu binafsi". Read it again βοΈTrump alipost lini ujumbe insta, ronaldo tu akitaka kupost jambo la maana haweki insta anakimbilia twitter..
Sasa wewe nionyeshe hao watu maarufu wanapost vitu muhimu insta zaidi ya misifa na kiki
πππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππΉπΏπΉπΏπΉπΏπΉπΏπΉπΏπΉπΏπΉπΏπΉπΏπΉπΏbaby!!!!!!Naona umeanza kukubali kimya kimya[emoji1787][emoji1787]
Wakenya ndio tunaweza mpaisha yyte east africa wala sio magu tu, hata mseven twitter tukiamua ata trend mpka mambele na watamtangaza mpka kw vituo hikubwa vy ahabari duniania..
Achana na kenyan's on twitter kabisa wewe
Bwahahaha!!ndivyo anavyowadanganya jiwe sioKiswahili kigumu au .. soma tena nilichoandika . Au nikusaidie na word to word translation.?? Au nikupe assignment ukafanye na wenzako .?? "Kupost au kutopost umbea au taarifa muhimu ni maamuzi ya mtu binafsi". Read it again [emoji3516]
Mtanzania wa kawaida ana followers wengi instagram kuliko wasanii wengi wakubwa wa kenya.Km insta inavyoongoza kw usambazi wa video za ngono na umbea, ndio manake wanaume wengi wanaokesha insta ni wambea..