Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

We sema havina faida kwako fala wewe🤣🤣🤣🤣... unajua hizi projection za watu anapigwa na maisha yeye anathani ni watu wote... eti vinaleta hasara, aya ukiuliza vinaleta hasara wapi huna jibu. Ndo kwanza miradi mipya. Nyie inaonekana Brt ambayo ina work currently ingekua bado (one of the projects na sgr) mngesema italeta hasara wakati we all know imesha jilipa na faida juu despite the duration...So plz stfu n let TZ do what is best for....unapenda orada ehee.. piga kazi mam🤣
 
Hawa ni ******* tu hatuwezi kuwa na undugu nao, sio sisi tu bali Kenya haiwezi kuungana na nchi yoyote ile hapa Africa kwasababu jamaa ni wana roho mby naturally.
Nimeshindwa kuhandover kwa sababu ya ujuaji wa mkenya . Hawa jamaa kufanya kazi nao ni shida . Sio waelewa. Na anadhani yeye yupo correct kila mda. Ujuaji uliopitiliza kwa mwanadamu ni risk sana
 
Nitajie wasanii wakubwa wanaopachika habari zao insta acha mitoko sijui na kiki, habari za mhimu..ukileta mi natoka jf
acha ushamba fara wewe!!
hawa hapa chini wanapiga pesa ndefu kupitia mitandao na hao ni baadhi tuu

by d way mitandao kwa hapa tz ni sehemu ya kutengeneza pesa, matangazo yanauhakika kuwafikia watu wengi kwa wakati1 guess what [emoji15]tangazo1 ni sh ngapi?
 
Umbea na kiki hauna nafasi twitter[emoji1787]
Pole sana ndugu yangu
😂😂😂 We ni chizi .aah .! Naumwagaaaa.!!😂😂 Twitter ni useless kwene maisha ya msanii fala wewe.watu wana-twit umbea bila faida yoyote, don't you know watu wanapiga hela kwa kupost matangazo tu insta.? Ukiona msanii hana followers wengi insta ujue hana ushawishi n most definitely hajulikani,like kenyan artists coz kuwa na followers wengi insta inamaanisha hela, mpunga wewe
 
Siku wakija kulijua hili tutakua tumewaacha mbali sana
 
unaelekeza hilo gold digger[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].

hakuna kitu linajua zaidi ya kudanga.
 
Emu rudia huu upupu
Tuonyeshe page zenu za umbea zina followers wangapi twitter[emoji1787][emoji1787]
 
Kupiga hela au ni peanuts wanapatiwa kw kufaidisha wengine..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…