Sama boy 255
JF-Expert Member
- Mar 5, 2021
- 13,804
- 41,710
Heb ona,taja msanii ambae unahis ana hela kuliko wasanii wa bongo au taja msanii unaehis anafake alaf ni msanii mkubwa ,leo nikutoe tongo tongo nikujuze ukweliBwahahaha!!narudia tena, hapo tz mnakojisifia usanii bado kuna wasanii ambao hawamgusi willy paul na bahati kifedha..
Jamaa msanii na misifa yote kumbe anatembelea gari la kukodi na ukifuatilia sana wengi wanaigiza katika maisha yao
Navy kenzo ndio wanamafanikio gani hass kimziki, we kumbe boya sana..yani unafikiria hapa unaongea na mjinga flani sio?Ki mafanikio ya mziki,maisha n everything
DiamondHeb ona,taja msanii ambae unahis ana hela kuliko wasanii wa bongo au taja msanii unaehis anafake alaf ni msanii mkubwa ,leo nikutoe tongo tongo nikujuze ukweli
Ndio mkoa pekee unaoweza kuongea kiswahili vizur kuliko mkoa wowote EAKwhyo km umezaliwa tanga ndio iweje[emoji1787]
Kasema nani?Ndio mkoa pekee unaoweza kuongea kiswahili vizur kuliko mkoa wowote EA
Navy kenzo ndio wanamafanikio gani hass kimziki, we kumbe boya sana..yani unafikiria hapa unaongea na mjinga flani sio?
Ndio nimekujuza ivyo,Mimi ni mwalimu wako kwenye kiswahili ,ukiwa na tatizo lolote kuhusu lugha ya kiswahili leta hapaKasema nani?
Narudia tena, navy kenzo wana mafanikio gani kimziki?. [emoji23][emoji23] Weunaijua tz au unaropoka tu.? kwenye waliomo umo.?[emoji23][emoji23] Navykenzo ni international artists mzee tena wamefanikiwa vikubwa sana . check it out xxl imewafuata home
Hoja kwishaaa[emoji1787][emoji1787]Ndio nimekujuza ivyo,Mimi ni mwalimu wako kwenye kiswahili ,ukiwa na tatizo lolote kuhusu lugha ya kiswahili leta hapa
Diamond haujawahi fake na ana hela kuliko msanii uoyote EA ntakuonyesha mali zake hapaDiamond
Mali zake au za wasafi?Diamond haujawahi fake na ana hela kuliko msanii uoyote EA ntakuonyesha mali zake hapa
Pole sana kama umeumia Ila ndio ivyo mzeeHoja kwishaaa[emoji1787][emoji1787]
Tena umerudi pale pale ya kwamba wa tz mnapenda sana kujiweka levels ambazo hamuendani nazo..
Ona sasa ulivyojishusha hadhi
We unavyojua wasafi ni nini.?Mali zake au za wasafi?
Manake tangia ni kapuku pale wasafi bado alikua ndio CEO, kwhyo usisahau km kuna wenye vyao nyuma ya pazia wanajitia ku support kumbe wanatumia vipaji vya wengine kujitajirishaDiamond haujawahi fake na ana hela kuliko msanii uoyote EA ntakuonyesha mali zake hapa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] pointless....Khee!![emoji1787]
View nyingi haimaanishi km ngoma yako au album eti imeuza sana kuliko ya mwenzio..
Tatizo domo anatumia nguvu nyingi kuliko maelezo ndio manake wale wamarekani wakaenda kumla hela za collabo alafu hawa post ngoma zao..
Kenya tumekubali mziki wetu upo chini lkn tz mnalazimisha kujiweka sehemu ambayo sio size yenu na hilo ndio tatizo huku mkisahau bila sisi kuwa support kimziki basi hamuendi popote
Tatizo wabongo nawafahamu, huu ndio uhalisia wenu..yani ujuaji mwingi lkn kichwani zero..Pole sana kama umeumia Ila ndio ivyo mzee
Narudia tena, navy kenzo wana mafanikio gani kimziki?
Halafu ujue hapa sio sehemu ya kupigia soga
Pole kama umeumia πππ Ila kuhusu kiswahili hujui kitu baba ,na kama unajua nyoosha kidole nikulize maswali ujibu , Google rukhsaTatizo wabongo nawafahamu, huu ndio uhalisia wenu..yani ujuaji mwingi lkn kichwani zero..
Kwhyo hata uandike nini wala hunitatizi ilimradi nipo salama na buheri wa afya