Walizusha wameumbuka mpango huyo hapo dodoma π€£π€£πππ
Sasa umekiri kwamba hayupo kenya asante sana πππππMzee wenu ni mgonjwa. Ni kweli hayuko Kenya lakini anaugua. Kama hangekuwa mgonjwa angekuwa amejitokeza sasa hivi. Namuombea apone haraka ili arudi kuchapa kazi.
Wasafi ina wenyewe mzee baba, yule kawekwa tu awapumbaze watuHiyo ni mali ya diamond ndugu,au unataka video zaidi .? Na hiyo wasafi yenyewe ni mali ya diamond , chochote unachoskia kuhusu wasafi ni mali zake
Politicians wenu wassenge sana, wametengeneza kiki ya kuwasahaulisha scandal za mahindi na wananchi wenu walivyo mapunga zaidi wakajaaMzee wenu ni mgonjwa. Ni kweli hayuko Kenya lakini anaugua. Kama hangekuwa mgonjwa angekuwa amejitokeza sasa hivi. Namuombea apone haraka ili arudi kuchapa kazi.
Yaani ajitokeze kwavile Wakunya wamemzushia? JPM yupo busy na mradi wa EACOP sasa! BTW Hivi mnajua jinsi anavyowadharau?Mzee wenu ni mgonjwa. Ni kweli hayuko Kenya lakini anaugua. Kama hangekuwa mgonjwa angekuwa amejitokeza sasa hivi. Namuombea apone haraka ili arudi kuchapa kazi.
CC: Tony254π π π π π pesa zishaliwa zamani
Nimesikia viwanda 2 hapo vina kuja shy cha textile na cement, then kuna mtu anasema umeme wetu utakuwa idleSGR Mwanza-Isaka
Hebu peleka ufala wKo uko ,hujui kitu kaa kimya pungu weweWasafi ina wenyewe mzee baba, yule kawekwa tu awapumbaze watu
Zuchu toka atoke hajawahi perform njeya Tanzania na hakuna mwanamuziki yeyote Kenya anaemfikiaMziki wa tz bila show za nje utakufa mskini[emoji1787][emoji1787]
Rais wa Tanzania kutoonekana weeks 2 Tanzania, waziri wa Kenya alitolea ufafanuzi, kweli Magu mwanaume na ni simba wa Africatupate ujumbe kidogo
Nope, Magufuli hatoenda nchi za Europe, definitely soviet countries, China, RussiaNairobi hamna cha zaidi cha kumfanya JPM akatibiwe huko, ikishindikana DAR ni Europe