Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ombi langu kwa mama samia nikupita njia zile zile za hayati magufuli na kuhakikisha haturudi nyuma na kuzuia ufisadi na rushwa
πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡Ώ
 
Nimepata Mshtuko sana bro yani usingizi umekara , simba wa africa ametutoka
Pole sana bro! He was a true pan Africanist, ni juzi tu nilikua nikiwaza nakusema Mungu hawezi muacha Magufuli because he boldly glorified Him before the whole world, aliposema yeye ana mwamini Mungu kulinda Tanzania kutokana na janga la corona, hapa nilikubaliana na yeye, na kwa hili jambo bro, ata kama ameaga, Tz iko mahali poa. Ukimsifu Mungu hadharani, na yeye hatakuaibisha. Tz is safe, take it from me. The gentleman honoured God before the whole world, wengine wakamkejeli. Kwa hili mimi namkubali. Tanzania itaishi chini ya baraka za binguni.
 
Moyo unaniuma mm jamaniiii, siwezi kulala kabisa wacha nikeshe tu nimeumia sana sana japo naamini kifo ni haki yetu sisi wanadamu lakini why Magufuli why??
Mimi nipo safarini am still in a hotel Room hata morali ya kufanya Field work imeishaπŸ˜”πŸ˜”πŸ˜”siku inakua mbaya kwanguπŸ˜”
 
🀝🀝🀝🀝 thanks bro
 
πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘ Shukraan
 
Kumbe na wewe unamuamini Mungu? Nilijua waliokua wakipinga himizo lake la kumtegemea Mungu ni atheists

Sababu kwenye ugonjwa usio na dawa unaoua millions ya wazungu walioweka lock downs, masks, social distances, high level medical care lakini bado wanakufa, nani mwingine wa kumtegemea zaidi ya Mungu?
 
Yeah, I do believe in God.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…