Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ona hawa mafilauni, yn hawana hata chembe ya aibu, waafrika kutokana na ufinyu wa akili na umaskini ulio kwenye DNA wamefanikisha propaganda hizi.View attachment 1729034
Ulaya na demokrasia yao waliwezaje kusambaza corona? yaani watu walikuwa wanamchukia Magu Sana,Jana nimeona KTN wanasema,Sasa kuna nafasi nzuri kuimarisha ushieikiano wa Kenya na Tanzania,nikagundua Hawa 🦍 wanashangilia kifo chake
 
Unafikiri kundi lile la kina JK linajali standard basi, wao ni kupiga tuu. Waliotuletea Hayati Magufuli naamini watahakikisha misingi ile kwa mama Samia hairudi kule. Nimeshaona watu wanaanza kuwaongelea wakina February, dah hadi moyo unapata mshtuko. Kweli hawa vichwa maji?
 
Halafu unajua January Makamba na Kikwete hawajatoa pole ya kupotelewa na JPM!
 
Ni kweli but lile kundi hslitaoewa nafasi kwa sababu mama Samia anajua kila kitu juu yao na pia serikali tayari ipo.

Wazee wakiona mana Samia anataka kufanya mabadiliko makubwa sana ni lazima watamuita na kuuliza kulikoni.
 
Kichwa kubwaaa akili sasa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Natabiri yafuatayo;
1.Upigaji wa madini hasa kule mererani
2.Kurudi kwa cartels za ccm,madawa ya kulevya,ufisadi Kama wa Escrow nk.
3.Tanzania kurudi kuwa Shamba la bibi.
4.Mikataba ya ufisadi.
5.Siri za serikali kuvuja.
6.Ya kibiti kujirudi.
7.Lissu kusumbua.
8.wananchi wa chini kutosikilizwa na viongozi.
9.Uzembe kujirudia kwa watumishi
10.Viongozi waliokuwa chini wa JPM kuandamwa.
 
Akilia mafiii alafu unajita opportunity cost [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ni kweli but lile kundi hslitaoewa nafasi kwa sababu mama Samia anajua kila kitu juu yao na pia serikali tayari ipo.
Kweli, huyu mama hakutokea from nowhere, kama unakumbuka alikuwepo kwenye mchakato wa katiba pamoja na wazee Butiku, Warioba, Salim, Kabudi, Bashiru na Pole pole.
Wazee wakiona mana Samia anataka kufanya mabadiliko makubwa sana ni lazima watamuita na kuuliza kulikoni.
Unakumbuka kwenye mazishi ya katibu mkuu kiongozi, Magu alisema, "yeye alimpendekeza Eng Kijazi kwa Mkapa ila akadokeza Kikwete anajua huo siyo utaratibu". Akimaanisha kuna watu wenye nguvu nyuma ya maamuzi Rais.
 
yaani jana asubuhi nimepita eneo nikakuta mama ntilie wanasikikiza redio.wengi hawakupata taarifa usiku ule wa juzi.

wanaongea kuhudumia kwa unyonge sana.
kwakweli roho iliniuma,mpaka nikaanza kumlaumu Mungu tena.

aaaah.
 
Huyo ni troll mkuu alafu pia ni mshenzi, tulikubaliana kumkaushia lkn wkt mwingine inashindikana kwn ana maneno yanayokera na kuudhi mno, hakuna mkenya au mwanajamii forums yeyote mwenye kukera km huyo.
anafanya makusudi,halafu bahati mbaya mods nao wanafanya kazi kwa utaratibu wa itikadi.

cha msingi ni kutokubali atutoe kwenye reli.
 
na hapa ndipo ninaporudi kwa mola na kumuuliza,"Mungu ni nini hiki umetufanyia"


kwakweli kwa sasa wacha niwe mtazamaji tu,maana kama ni kupigwa ni Mungu mwenyewe ametaka tz iharibike.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…