Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwanini Magufuli alijenga kipande cha Mwanza Isaka harakaharaka kabla ya vipande vingine hapo katika?

My take, ni kwamba alijua atakufa mapema kwa hiyo wacha afanye hivyo ili ndoto yake ya SGR kufika Mwanza itimie sababu come rain come shine lazima vipande vya katikati vitajengwa tu, tofauti na kama ingeishia Isaka, ingeweza isiendelezwe tena na ika make sense.

Magufuli alipewa Macho ya kuona mbali sana 😭😭😭😭😭😭
 
Naamini kama Magufuli alipata wasaa wa kujiongozea mwenyewe sala yake ya kifo na kuiaga family yake

Bila shaka pia alitoa pendekezo la nani awe Rais 2025 na TISS walikuepo na records zote zipo, tusiwe na shaka lazima alipropose the best for us
 
Naamini kama Magufuli alipata wasaa wa kujiongozea mwenyewe sala yake ya kifo na kuiaga family yake

Bila shaka pia alitoa pendekezo la nani awe Rais 2025 na TISS walikuepo na records zote zipo, tusiwe na shaka lazima alipropose the best for us

hii ya records hata mim nimefikiria [emoji1][emoji1].. nimefikiria hiv.. baada ya kuzikwa utasikia mama Samia atasema familia ya magu imekubali kutoa record/mkanda inayoonyesha jinsi magu alivyoongoza sijui nyimbo na maombi aliyaongoza akiwa hospitali .. au pale mapadri walivyomtembelea.. mim nasubir tu nione kama itakuwa hivyo kweli [emoji23].. afu nimefikiria watu watabisha.. watasema imeeditiwa hadi movement ya mdomo
 
Naamini kama Magufuli alipata wasaa wa kujiongozea mwenyewe sala yake ya kifo na kuiaga family yake

Bila shaka pia alitoa pendekezo la nani awe Rais 2025 na TISS walikuepo na records zote zipo, tusiwe na shaka lazima alipropose the best for us
wacheni speculations kumbukeni video kama hizo zinaweza pia kumuharibia kama alijiingiza kwenye ku-suggest nani achaguliwe 2025! Kumbukeni yule ni binadamu na not necessarily alikuwa perfect!

BTW kama mmegundua kumekuwa na picha nyingi za mkuu wa majeshi na mkuu wa polisi zikishukuru solidarity kati yao!

Na hatujui nini kimetokea nyuma ya pazia inawezekana kumekuwa na nguvu kinzani kwenye mrithi wa JPM! na inakaa jamaa wakasimama na katiba! msitake kuibua madudu!
 
mambo ya kawaida msianze speculations!
 
Unategemea kwamba atawaachia majizi na mafisadi na wapiga dili muchezee pesa za serekali hio kitu sahau maisha yako yote [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Jipe matumaini hvo hvo
Hakuna Rais aliwahi kuwaachia majizi,nani kafungwa kwa wizi awamu hii? Ukipata jibu nitag
 
Wapi uhuru alisema Kenya ipo tayari kununua stima ya Tanzania?
 
Mambo ya Tanzania au JPM kujiamini imetokea wapi sasa? Tripartite agreement haiwezi kutiwa saini ikiwa parties wote hawapo. Sio kwamba nyinyi mmejiamini kushinda Waganda au Total ni kwamba party moja akikosa kujitokeza basi agreement haitasainiwa. Hata Total akikosa kuja kwenye meza basi agreement haitasainiwa. Hata Uganda asipokuja matokeo ni yale yale. Na wala jambo hili la kuahirisha kutia saini haina uhusiano wowote na kujiamini kwenu au ushujaa wenu.
 
Uhuru alipiga trips nyingi za Paris na Kampala kujaribu kuwa-keep Waganda na Lamu option! Saahii jamaa is dead ila mradi unangoja mrithi amalize msiba aende kutia sahihi!

Kapiert? godamn Kenya!!

Tony254
 
Uhuru alipiga trips nyingi za Paris na Kampala kujaribu kuwa-keep Waganda na Lamu option! Saahii jamaa is dead ila mradi unangoja mrithi amalize msiba aende kutia sahihi
 
Usitumie nguvu nyingi kushindana na Ng'ombe....hii ni ile mijitu ilikuwa inaishi kwa ndugu mafisadi na kufaidi makombo ya wizi wa fedha za uma...ndani ya miaka tano ya Chuma JPM wameishi km mashetani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…