Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kaka wacha maneno mengi yasitokua na maana yoyote, taja kitendo (activities), ambacho kikifanyika ndio kinaleta ustawi wa watu, activities ni kama, kujenga Hospitali, kujenga reli, kupunguza kodi kwa wakulima, kuongeza uzalishaji wa chakula.......

Wewe unazungumza nadharia bila kutaja nini kifanyike, kwa mfano unasema "kuboresha mazingira ya kujiajiri" bila kutaja ni kitendo gani kikifanyika ndio kinajenga hayo mazingira ya kujiajiri.

Jambo lingine punguza maneno ambayo hayana ushahidi wowote, unaweza kuthibitisha kwa kutoa data kwamba kipindi cha Kikwete wanafunzi wengi wa vyuo vikuu walikua wakijiajiri kuliko kipindi cha JPM?, punguza maneno ya vijiweni.
 
wacha ujinga angalia yale matofali ya flyover yamepigwa plaster lakini yanaonekana upumbavu wachina wanawafanyia mafalamanga toka Kenya!
Wamepiga tofali then wakapiga rangi..ata plasta imewashinda
 
Wewe una matatizo mkuu sio bure, unasema Magufuli ndiye aliyezuia pension hadi mtu afikishe miaka 60, hukumbuki Magufuli alipoingilia suala la kikokoteo na kuifuta sheria iliyolazimisha mtu kutopata pension hadi afikishe miaka 60, na alikua anahutubia taifa baadae akamtumbua yule mama aliyekua mkurugenzi wa mifuko ya Pension?, mkuu wacha kujiabisha kwa kuandika maneno mengi, hujui kitu.
 
Ni kawaida mwenyekiti wa CCM kupendekeza mrithi wake, hata Nyerere akipendekeza Kikwete awe Rais na japo Nyerere alikua tayari kafariki lakini CCM waliheshimu mapendekezo yake

Hiyo ni tradition ya CCM
 
Kwani Magufuli anaweza kufuta sheria ya nchi? Kwani rais huko kwenu ni Mungu?
 
Mombasa ina interchanges kadhaa zinazojengwa. Nionyeshe interchanges mbili tu zinazojengwa katika utopolo wenu.
Dah...asee we jamaa...barabara ya kimara kibaha Ina interchange nyingi kama wali kwa plate...hivyo si vitu vya kubrag kwetu kipindi hiki...nyie kujengea kitu Cha mwendokasi it's big stories wakati ss tumejenga mpaka tumechoka...
 
Mombasa ina interchanges kadhaa zinazojengwa. Nionyeshe interchanges mbili tu zinazojengwa katika utopolo wenu.
Ww unataka tujenge interchange kwenye sehemu haina mahitaji kwa sasa ??? Nyinyi munajenga overpass kwasababu muna bandari na munataka kuondoa msongamano , sasa sijui wapi unakwama tony??
 
Ww unataka tujenge interchange kwenye sehemu haina mahitaji kwa sasa ??? Nyinyi munajenga overpass kwasababu muna bandari na munataka kuondoa msongamano , sasa sijui wapi unakwama tony??
Wenyewe waangalia quantity tu...ndo maana wanapigwa kila siku...
 
Kwani Magufuli anaweza kufuta sheria ya nchi? Kwani rais huko kwenu ni Mungu?
Rais ndiye mkuu wa serikali, serikali ndiyo inayopeleka mapendekezo ya kurekebisha sheria bungeni, ndicho alichofanya Magufuli baada ya wabunge wa upinzani kuipigia kelele hiyo sheria, wabunge wa CCM walikua wanakataa hiyo sheria kufutwa, lakini Magufuli aliingilia kati hatimae wabunge wa CCM walikubali na ikafutwa.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…