Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

😁😁😁😁 maskini pesa za taxpayers 1.96b ksh ila mchina sijui kama ataenda mbinguni
 
Hahah komora096 umeskia kq wameomba mkopo wa 28b ksh, wakapewa 6b ksh lakini cha ajabu imeleta loss ya 36b ksh yani loan juu ya loss😂😂 alaf wanakwambia kama huo mkopo hautapatikana wafanyakazi 4000 nyumbani👇👇👇👇👇
 
So cs hana habari kabisa kuliko wewe[emoji1787][emoji1787] kichaa sio lazma avue nguo
Km angelikua na habari asingeliita ripoti yake press[emoji1787][emoji1787]
Angeliiweka hzo data katika official websites za KQ
 
ichoboy01 ebu isome hii report
 
ingia humu ndan afu search neno loans [emoji23][emoji23]
 
wale wale yani

somen paragraph ya kwanza mwishoni [emoji116][emoji23]
the legal title is to be transferred to Kenya Airways Plc once the loans are fully repaid

kwa maneno haya [emoji1318] tunathibitisha KQ inamiliki ndege 3 kihalali. full stop

vip komora096 bado unabisha?

Tony254 any comment?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…