Lazy thinker, pretoria is a fourth tier city in SA and thats not even the best ive shown you.Asa hii na pale Msimbazi Brt station kuna tofauti gani au ni hiyo rang nyekundu, maana kama ni bati ni msouth pia[emoji16][emoji16]
Kwahiyo wewe humu hujifunzi kuhusu ku run treni ya umeme, jinsi ya ku manage brt system, jinsi ya kuzalisha umeme mwingi ambao ni affordable, jinsi ya kujenga flyovers za kisasa, jinsi ya kuunda meli kubwa, jinsi ya kuondoa slums, kuwa na jiji safi, jinsi ya kuwa na maji safi na salama, jinsi ya kuondoa njaa hahahahaaa zote nilizotaja hapo kwenu hamna so ni lazima ujifunze kwa walionacho na umejifunza utake usitake [emoji1787][emoji1787][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205][emoji90][emoji90]Hapa una differentiate opinion na facts kaka, kuna watu wengi humu, haswa southerners mostly wanatoa maoni ki propaganda ionekane eti ni facts. Some have very little exposure, understand, and have fun. Your weapon is to present concrete facts. Kuna watu wametekenywa na kujichekea [emoji23][emoji23], the only thing utajifunza humu ni kiswahili tu, zaidi ya hapo nothing, ni vioja tupu na mijisifa hewa [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Cant waste my time kutafutia mtu facts , lakini siwezi nyamazia uongo na ujinga nikiuona. I point it out regardless of nationality. I hate sycophants more than murderersHapa una differentiate opinion na facts kaka, kuna watu wengi humu, haswa southerners mostly wanatoa maoni ki propaganda ionekane eti ni facts. Some have very little exposure, understand, and have fun. Your weapon is to present concrete facts. Kuna watu wametekenywa na kujichekea 😂😂, the only thing utajifunza humu ni kiswahili tu, zaidi ya hapo nothing, ni vioja tupu na mijisifa hewa 😂 😂 😂
yaani hata dailynews hawajui neno merge? inatia aibu!Kenyans feeling superior for no reason. Combination is correct here.
mna kiherehere king sana
🤣🤣🤣🤣 huyo ndio maana hua sishughliki naeWe mkenya mbona unakuwa kilaza!!!!..tuonyeshe baiskeli za abiria za China,hiyo uliyoweka hapo juu sio baiskeli(bicycle)..hizo ulizoweka hapo ni tricycle,si baiskeli...
Jua kutofautisha kati ya bicycle na tricycle.
Munaeza kujionea kitu alichopost 🤣🤣🤣Mzee watu wanasokota mpka uchina acha nyodo hapaView attachment 1738241View attachment 1738242View attachment 1738243
Cha msingi ni kwamba zote zinasokotwa,hamna jipyaMunaeza kujionea kitu alichopost 🤣🤣🤣
Mutasema dunia ni mbaya au watu ndio wabaya View attachment 1738477View attachment 1738478View attachment 1738479
View attachment 1738483
View attachment 1738485
Najikuta nimefarijikawale mlokua mnamtaka mchumi awe VP mmeshinda dk mpango aukwaa u vice president of URT
Alaf ndio city munataka fabanisha na arusha nyinyi watu muna akili Sawa sawa🤣🤣👇👇👇👇For the culture, kaka komora096 nikienda kisumu lazima ni sample hii greatness. Hawa ndo waanzilishi wa neno "boda boda". Zilitumika kuvukisha watu btwn border ya kenya na uganda. Pioneers.View attachment 1738494
Mm nataka unioneshe china huu upuuzi ndio nataka kuona mm 🤣🤣🤣🤣 jamaa kabeba kuku uantaka kusema kabeba abiriaCha msingi ni kwamba zote zinasokotwa,hamna jipyaView attachment 1738489View attachment 1738490
For the culture💪💪💪Alaf ndio city munataka fabanisha na arusha nyinyi watu muna akili Sawa sawa🤣🤣👇👇👇👇
View attachment 1738511View attachment 1738512View attachment 1738513View attachment 1738514View attachment 1738515
Kama vile Mh Rais mama Samia anapitaga humu vile!!Kunahitajika an Economist with track records! Baada ya hizi Megaprojects kukamilika kuna umuhimu wa kujiandaa na kuweka mazingira ya ufanisi wake! mtu anatakayeweza kumshauri Samia Suluhu juu ya ku-stimulate economy through right investments!
🤣🤣🤣🤣🤣 asante kwa mapovuFor the culture💪💪💪