hahahha hio munaonesha city centre wakat more than 3 million people wanaishi kama nguruwe wageni walioshika uchumi ndio wanakula bata hahahahahahahah kwa kujisifu tu hamjambodont mind em , that is the typical danganyikan response when they cant touch us ,,
Nairobi imetoa dar vumbi and that is no debate 😛😛
Hicho kigezo hakifai kutumika kushindanishia.Kwahiyo dar es salaam imeizidi Nairobi kwa mambo ya Island si ndio. Umekubali hilo? Nataka ukubali hilo kwanza.
ulitaka kigezo gani kama kipo kisitajwe au hahahahhahahahahaHicho kigezo hakifai kutumika kushindanishia.
hahahaha siku zote asiekubali kushindwa si mshindani kwanza muwatoe watu kibera na mathare more than 3 million people wanaish maisha ya nguruwe akaf muje tuzungumze tena...............tutawasubiri tu hamkujua 15yrs tanzania imekaa kimya inajenga nchi leo munahamaki kama wagonjwa wakifafajust fools.
continue
Tyetye tye[emoji23] [emoji23]dont mind em , that is the typical danganyikan response when they cant touch us ,,
Nairobi imetoa dar vumbi and that is no debate 😛😛
wapi kuna slum hebu rudia sijaskia vzr huyu naona kachanganyikiwa hahahahhaa2.5m people in kibera na pics za links nimetuma na Wikipedia nimetuma hahahaha usilewe bado mudaPia new york, rio de Janeiro, Shanghai, Johannesburg, New Delhi ziko n.a. slums....so usijitete n.a. mada ya slums hapa Juu Iko n.a kibra iko n.a less than 250k inhabitants
Kama hujui Kiswahili andika Kijaluo tu!!Pia new york, rio de Janeiro, Shanghai, Johannesburg, New Delhi ziko n.a. slums....so usijitete n.a. mada ya slums hapa Juu Iko n.a kibra iko n.a less than 250k inhabitants
kwanza unajua BRT afrika ziko nchi ngapi, ziko tatu tu africa hahaha bado taja mengine umeyasahauBRT ndio mko nayo pekee yenye hatuna hapa
barabara kwao ndo imekua nyimbo hahahahahaha hawana kingine waseme hapa tuskie hahahahahTyetye tye[emoji23] [emoji23]
Mkikata kona mkirudi
ni Barabara hahaha
poleni sana
leteni uhalisia wa maisha ya wakenya halisi!!
Watu wanaishi mahali Nguruwe pekee anaweza ishi!!
ongea vizuri kama huwez basi kijaluo kihusike sanaNaongea lahaja tofauti n.a. Wewe...kiswahili si same zote
we ndio maana ukaitwa mwanamke hio ndio city au ni nini, maswali yetu hata moja hakuna aliejibu munapita wima kila mkirudi munaonesha barabara tu hahahahahahahah leteni real facts ili siku nyingine munakuja na heshma hapaHow many international organizations plus headquarters ziko Dar?