Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Saa hii Kenya inapigana na UK. Hao sio marafiki zetu.
ASA nyie mnapigana na UK kwa lipi? Labda kwa mfanoπŸ™‚ Mnawaitaji UK mara Mia Zaid ya wanavyowategemea nyinyi hapo wazee wa kujipendekeza😏
 
Yaani majirani mumeamua kua huu mwaka lazima mupelekaneni na wakenya head to head kwa huu ugonjwa..naona mwataka kuchukua kikombe kwenye hili ligi..
 
😳😳😳😳😳😳😳😳

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…