Reborn Ktb
JF-Expert Member
- Mar 14, 2021
- 6,906
- 9,731
Soko la uganda limeshafika ukingo wake, tunataka untapped market kutoka s.sudan na ethiopia lenye litafungua nchi yetu vizuri.Kweli kabisa mavi yamegonga chupi, Uganda ambayo ndio wanayosema ndio ndugu wao wa damu na "the biggest bussines partner" Leo tena sio muhimu?, muda sio mrefu watasema Ethiopia sio muhimu, sasa hivi kipaumbele ni kufanya biashara na Alshabaab.
😂😂😂 malizaa huyo mwarabu koko
Huu uzi hawana hamu nao😂😂😂Wamevuliwa chupi na CAG😂😂waone Sasa venye uchi wao ni shapeless,,TZ ni corrupt every sector,,Magu alificha haya yote na ku brainwash wapoko,,Sasa watalilia choo😂😂😂😂
Uliskia wapi kwamba umuhimu wa mradi unatokana na bei yake, hio miradi nilioandika yana impact KUBWA sana kwenye Africa nzima.
ndio - lapsset kwa mfano.Ina impact kushinda hoima to Tanga pipeline?
Imalizike huo upupu 🤣🤣🤣🤣Utajua hujui,wacha imalizike ntajaza server 😁😁
60b tsh in 5 yrs against 36b ksh in just one year bado unshindana kweli🤣🤣🤣🤣CAG...rudi ukasome CAG....bado nitakukumbusha hadi uerevuke...
Ndio kiboko yenu hawatoki mdomoni 🤣🤣🤣🤣🤣🤣wivuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu, kabishane na magufuli 👉👉👉🚮🚮🚮
Amalize kwa kipi hebu mkumbushe tena 🤣🤣😂😂😂 malizaa huyo mwarabu koko
🤣🤣🤣🤣🤣 hasira za pipelinendio - lapsset kwa mfano.
👇👇👇👇👇Naskia walinunua ndege cash na ni zaidi ya miaka tano bila kupata profit ata ya kununua kitunguu ama tomato..hio biashara waifunge tu..waendeleze SGR yao..
60b tsh in 5 yrs against 36b ksh in just one year bado unshindana kweli🤣🤣🤣🤣
Na kafanya mambo ambayo kenya mungetumia miaka 40 😅😅😅 au nasema urongoooooooWamevuliwa chupi na CAG😂😂waone Sasa venye uchi wao ni shapeless,,TZ ni corrupt every sector,,Magu alificha haya yote na ku brainwash wapoko,,Sasa watalilia choo😂😂😂😂
Who told you imeshafika ukomo kama sio desperation yenu baada ya kuona Uganda imeamua kuelekeza nguvu zake kwa Tanzania?, with all civil unrest in both SS and Ethiopia, which market do you expect from those failed states, nor wonder Uhuru Kenyatta haraka sana ametuma ujumbe kuja Tanzania, anajua ndio nchi pekee Kenya inayoitegemea pakubwa sana ukanda huuSoko la uganda limeshafika ukingo wake, tunataka untapped market kutoka s.sudan na ethiopia lenye litafungua nchi yetu vizuri.
CAG...rudi ukasome CAG....bado nitakukumbusha hadi uerevuke...
Wamevuliwa chupi na CAG😂😂waone Sasa venye uchi wao ni shapeless,,TZ ni corrupt every sector,,Magu alificha haya yote na ku brainwash wapoko,,Sasa watalilia choo😂😂😂😂
Yani hii ndio kazi amefanya pekee 🤐🤐🤐 elimu bure tulipata 2002, ndege hasara tupu, interchange nchi nzima mbili , sgr yajengwa ikibomolewa, afya bora yeye kafa kenya, airport terminal passengers zero. Niendelee ama niwache upumue kwanza😎
Yani hii ndio kazi amefanya pekee [emoji850][emoji850][emoji850] elimu bure tulipata 2002, ndege hasara tupu, interchange nchi nzima mbili , sgr yajengwa ikibomolewa, afya bora yeye kafa kenya, airport terminal passengers zero. Niendelee ama niwache upumue kwanza[emoji41]