Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Na tayari kashahisi joto, Mwinyi alienda kupooza betri
Mwinyi alimwambia kiustaarabu tu, aachane na kundi lile, watanzania wanataka miradi imalizike na rasilimali kulindwa.
Mama karudi DOM
Aisee mama anapenda kukwea pipa, tofauti na JK aliyekuwa anajibana bana kwenye kale ka Gulfsream yeye anajimwaga kwenye li Airbus.
 
Mwinyi alimwambia kiustaarabu tu, aachane na kundi lile, watanzania wanataka miradi imalizike na rasilimali kulindwa.

Aisee mama anapenda kukwea pipa, tofauti na JK aliyekuwa anajibana bana kwenye kale ka Gulfsream yeye anajimwa kwenye li Airbus.
safii aachane wanaotaka kum-distract!
 
Si ndio maana wachina wanajua kuwanyuka kama walivowafanya kwenye SGR na expresswayπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Sa we ni pesa inakutia wasiwasi,πŸ˜‚πŸ˜‚tutalipa na hio expressway na SGR zitabaki nasi forever,,
 
30 years imetia hasara miaka mingapi na faida pia ilipata miaka mingapi, Atcl hata haijui faidia ni nn tangia iumbwe
Atacl bado serekali ina invest haiwezi tegemea faida kwa muda mfupu bado kuna ndege zaidi ya tano zishalipiwa zinakuja bado investment inaendelea leo utafananisha hasara ya ATCL five yrs ni 27m usd against hasara ya kq mwaka mmoja tu 333m usd akili yako iko sawa kweli🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Wapi umeona wametumia pesa za tax payers kulipa wenye ndege
Hasara inalipwa na nani au unafkiri pesa za mama ngina 🀣🀣🀣🀣

 
Correction 20 owned, 20 leased, buzzing airport, thousands of employees, lots of routes, parking spaces, landing rights, code sharing agreements, experience, have been profitable before what about ATCL zero profits since inception, zero routes
Ndio mulidanganywa na kenyataa hvo
3 owned and fully paid
17 loan from foreign banks
20 leased
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡ ww na macharia nani anajua zaidi


Haya tuambie hzo ndege 20 lini mulilipa mukawa nazo πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† aliewaroga nyinyi alizikwa mwaka 1860
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…