π€£π€£π€£π€£π€£ππππ ukiwa na maana serekali haina miliki kenya airways ama ?? Na kama inayo miliki lazima iwe chini ya wizara na mwenye wizara hio aliepewa dhamana ni macharia mzee baba ππππ piga ufe ugaregare mwenye wizara aliepewa dhaman ni macharia π π π πLini hyo budget ya KQ iliongelewa bungeni[emoji23][emoji23]
We kweli panya buku, we unajua kitu kinaitwa partneship kweli au ni ugumu wa kuelewa tu ndio manake unapayuka
Kq inaendesha hasara leo ni miaka 10 mfululizo na hasara ilioko kq kila siku afadhali ya jana π€£π€£π€£ na mbaya zaidi shirika lina miliki ndege tatu chakavu fully paid huku ikizidi kutumuia pesa za taxpayers kulipa wenye ndege zao wakila bata ulaya huko alaf nyie kaeni mutafute mchawi aliewaroga πBado haitabadilisha km KQ imeingiza faida mara kadhaa zaidi ya hyo hasara
Kuna picha ya rais na picha ya mkuu wa wizara husika macharia ππππUnaona hapo juu kaweka picha ya nani[emoji23]
Mm nakupa official source from the boss of that wizara ambayo kq iko chini ya hio wizara πππππLete evidence kutoka KQ tumalize mjadala km wewe una makende mawili kweli
Maoni yako mazuri, km umefikia level hii ya kumuita macharia boss wa KQ..asante sana kilazaMm nakupa official source from the boss of that wizara ambayo kq iko chini ya hio wizara [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Soma kwanza nilichokiandika na uache kujirudia rudia km mtoto wa chekechea..Kq inaendesha hasara leo ni miaka 10 mfululizo na hasara ilioko kq kila siku afadhali ya jana [emoji1787][emoji1787][emoji1787] na mbaya zaidi shirika lina miliki ndege tatu chakavu fully paid huku ikizidi kutumuia pesa za taxpayers kulipa wenye ndege zao wakila bata ulaya huko alaf nyie kaeni mutafute mchawi aliewaroga [emoji13]
Serekali haimiliki KQ km unapinga lete data hapa, alafu uache kujirudia rudia utachokwa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116] ukiwa na maana serekali haina miliki kenya airways ama ?? Na kama inayo miliki lazima iwe chini ya wizara na mwenye wizara hio aliepewa dhamana ni macharia mzee baba [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116] piga ufe ugaregare mwenye wizara aliepewa dhaman ni macharia [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
View attachment 1752209
Umeona sehemu akimtaja raisi, kapuuzwa kijana wakoThe star ni media kutoka kenya imesajiliwa na serekali ya kenya na ni official media from kenya [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] tatizo lako hupendi ukweli mzee
Tulia urambe dawa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] eti namjua head of cabinet na kazi ya cs ni nini kwenye wizara au hujui hio ni system mume copy kutoka england [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Kama ilitoka order from above na huyu ndio kawasilisha sasa kwann ukatae [emoji116][emoji116][emoji16][emoji16]
Nolete hyo bajetiSo kesi ya kq hua inapelekwa bungeni kufanya nn ?? Na kwann kq iko ndani ya budget ya wizara ya transport na kwann hua nijadiliwa bungeni ???[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Niletee sehemu matiangi kamtag rais au IG katika zile ripoti zakeKama kapewa report akaseme na huyu katoa report awasilishe na kawatag kq pamoja na transport ke[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Umekasirika, boss kutoka wapi[emoji23][emoji23]Tunazungumzia mkuu wa wizara husika alieachiwa wizara kuiongoza kq iko chini ya wizara ya transport na wizara hio inaongozwa na macharia ndio boss wa wizara aliopewa kenge wewe[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] kabisaa mkuu ila na wew umesahau east & central africa[emoji23] kuna neno umesahau β Super β
Bishana na mm ukiwa na akili tumamu π€£π€£π€£ππππSerekali haimiliki KQ km unapinga lete data hapa, alafu uache kujirudia rudia utachokwa
Leo cs macharia humtaki π€£π€£π€£π€£Umekasirika, boss kutoka wapi[emoji23][emoji23]
Chattle au