Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hta modern coast iko chini ya wizara ya uchukuzi, aboud bus pia vile vile[emoji23][emoji23]
Umeona ukilaza wako ulipofikia
Serekali haina shares kwa modern coast ila modern coast inafata taratibu zote za usafiri ukiowekwa na serekali chini ya wizara 🤣🤣🤣🤣👇👇👇
 
Kazi ya wizara ni kuweka taratibu ili zifuatwe[emoji23][emoji23]
Kumbe ilikua walijua hilo alafu unajitoa ufahamu tu hapa..
Tosha sasa haina niendelee na wewe, rudia tena kazi ya wizara ni nn?[emoji23][emoji23]
Sijaona utaje u boss hapo[emoji122][emoji122][emoji122]
 
Sikujua kama unaweza ku-stoop so low namna hii mama akitoka kampala anaenda Mwanza kuzindua SGR lot 3 !



Mkiamka malazy wa Kenya tumewapiga tena kwenye SGR!
vivyo hivyo ndio mlisema wakati wa air tanzania, saa hii imebaki kumbeba rais tu,, hasara tupu....akili ya vitu vingine hamnaga aiseee, tuachieni sisi wakenya tulioona mbele
 
Inaweka taratibu na kusimamia mali za serekali na ina 44% shares na ndio owner mkubwa kwa sasa kq 🤣🤣🤣 na kq iko chini ya wizara ya uchukuzi kwa uangalizi na usimamizi 😀😀😀 ndio maana unapoambiwa loss inatafuta tax payers money uelewe 👇👇👇👇
 
🤣🤣🤣🤣 kwann kq huongelewa bungeni kwanini inaongelewa bungeni na kwann macharia anaiongelea kq?? Unajitia upunguwani
 
vivyo hivyo ndio mlisema wakati wa air tanzania, saa hii imebaki kumbeba rais tu,, hasara tupu....akili ya vitu vingine hamnaga aiseee, tuachieni sisi wakenya tulioona mbele
Mumeona mbele na shirika linafkisha hasara ya 333m usd🤣🤣🤣🤣 hio hela inawez nunua dreamliner mpya na cessna caravan 20 na change ikabaki
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwann kq huongelewa bungeni kwanini inaongelewa bungeni na kwann macharia anaiongelea kq?? Unajitia upunguwani
Wee..tumeshamaliza mjadala, nadhani ilikua hujui kazi za wizara lkn nimeona kidogo zimekukaa sawa sasa baada ya kukupeleka mbio..

Mada imekwisha, km utaendelea endelea pekea yako,
 
Mwarabu koko KQ si mali ya serikali🙄
 
Mkuu hivi route ya dar-nai inaanza lini,siwaelewi hawa atcl isije ikawa wanatuhujumu?
 
Picha ya Kwanza nipo kwenye huo msusuru , LOL Tulipiga kitu "The Beatles’ Abbey Road album cover"


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…