Ingia google itakusaidia uheheheh siku utapata kilimanjaro 4 imepanda hapo mm nafunga acc leo 🤣🤣🤣🤣Tuonyeshe wewe zikiwa hko kw hyo modern unayoisema zikihudumia 4-7 km ulivyo conclude ya kwamba huku haziji
Tunatumia conclusion yako ya kwamba haijawahi, sasa tuletee wewe zikiwa hko zanzibar..Ingia google itakusaidia uheheheh siku utapata kilimanjaro 4 imepanda hapo mm nafunga acc leo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mshamba alieipeleka nchi speed utasema alikuwepo miaka 40 😝😝 yani hata sijui munamchukia wa nn au yeye ndio alikua anachukua zile 2b ksh per day??Jamaa alikua mshamba sana yani [emoji23]View attachment 1753818
Mbovu wapi hko nikupe update sai jomba!!Nimepita january 2020 haya nioneahe update pics kua hio barabara imejengwa upya ukipata unitag nifunge acc sasa hvi[emoji1787][emoji1787]
Ni wale wale waliobanwa ,wazee wa madili ndio waliokua wanamchukia ila hakuna rais bora africa kama magufuli 😄😄😄 jamaa kaipeleka nchi mchaka mchaka kila kona[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji382][emoji382]View attachment 1753820
Kwn nyie ndio mumeanza kuvifanya sai hvoHapo sijataja vitu vingi mfano modern terminals, roads mpk uswahilini, sijataja BRT, sijataja mikataba ya faida kwa nchi mfano kabanga Nickel na dhahabu ya barrick, sijataja silos kila mkoa, sijata abattoirs, sijataja viwanda mfano cha ngozi kule Kilimanjaro, sijataja modern airpots, sijataja ports, sijataja ferries, sijataja big ships zinazojengwa maziwani yn sijataja vitu vingi. And all that is just for only five years, so unapoona Watz wakaanza kumtukuza Magu msidhani walikuwa wanapenda jamani huyu mtu ni wa ajabu sana sana sana, ndiyo maana niliwahi kusema sidhani kama ubongo wake walimwacha azikwe nao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Leta update ya hio barabara mm nifunge acc sasa hvi kwanzia mombasa mpaka malindi barabara mbovuMbovu wapi hko nikupe update sai jomba!!
Alafu we ni mrongo sana[emoji23][emoji23]
Leo nataka nikukamate
Hyo peinter maintanance & repair ilikua inakula hela ngapi nayo, CAG tujuzeJamaa alikua mshamba sana yani [emoji23]View attachment 1753818
Alaf swali la kujiuliza magufuli anawahusu nn wakenya hilo ndio swali muhimu zaidi, na kama hawahusu kwann wanamchukia jibu ni moja tu, wanaona wivu kuona tanzania imefanikiwa pakubwa sana kwenye wakati wake na kawabana sana hasa kwenye madini ya tanzaniteMsipende kuokoteza dhambi saa nyingine jihurumieni, mkijua ya kwamba miaka 70 ya hapa duniani ni tunaji qualify either kuingia Mbinguni au motoni, siku zote ogopa anaye weza kukuamuru ila akakupa uhuru hasira zake hazivumiliki. Kisasi ni cha Mungu. Ila mwenye kudhihaki na azidi kudhihaki, na mwenye kuenenda vema na azidi sana.
Nenda kabishane mirembe, ukitaka tuendelee na huu mjadala kisomi na kiutu uzima nitajie hzo sehemu mbovu..Leta update ya hio barabara mm nifunge acc sasa hvi kwanzia mombasa mpaka malindi barabara mbovu
Changamoto ni kipande cha dar mjinu mpaka pugu hapo ndipo wanaangalia design itakayofaa kesho na keshokutwapHuo mradi wa SGR kipande cha DAR kinachosha sana
Ndio kile miaka miwili sio[emoji122][emoji122]Changamoto ni kipande cha dar mjinu mpaka pugu hapo ndipo wanaangalia design itakayofaa kesho na keshokutwap
Nafkiri ndio huu kutoka mara kwenda serengeti is just like 30km or 35kmKulikuwa kuna mvutano wa international Airport kujengwa huko Mara, ni either Mugumu au Serengeti... Walikuwa wanazozana uwanja uwe wapi na upewe jina gani... Vipi ndio huu sasa international unajengwa au huu ni mwingine?
We sasa naona umerogwa, manake huo mzigo ukiumiliki sio wa kitoto..
🤣🤣🤣🤣🤣 umekasirika sasa ulijua hapo hutoki na ungejibu tu ukaona saaa hvi au unafkiri tupo huko huko hatuyajui ama??Nenda kabishane mirembe, ukitaka tuendelee na huu mjadala kisomi na kiutu uzima nitajie hzo sehemu mbovu..
Lkn eti ukianza utoto bishana pekeako
Uyo demu kakufunika nini!!??[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]We sasa naona umerogwa, manake huo mzigo ukiumiliki sio wa kitoto..
Utajipigia mpka uchoke