The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,668
- 99,003
Si ajinyonge tu yanini kuteseka [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Na kuonesha namna gani alikua na nguvu na bado ana nguvu ni namna anavyowatesa while in 6 feet under, bado mnateseka na mtazidi kuteseka, hamtakaa mpate heshima hata theluthi ya JPM wala hamtakaa mpendwe na ulimwengu kama alivyopendwa JPM
Wewe choice variable unateseka kila siku na I'd kama million upo kama kichaa na inaonekana ni namna gani JPM anakutesa.
Uzuri ni kwamba Magufuli effects are very alive and active on all levels of government and public, huwezi kulikwepa hilo, legacy yake ni ya milele.
Kumbe haka ni kale kajinga choice variable, huwa wakati mwingine kanajifanya kakenya, kuna uzi kule jukwaa la siasa kaliona jamaa kaanzisha uzi wa Magu kakafikiri ni mm kisa avatar zimefanana kakaanza kumshambulia jamaa huku kanamkonect na jukwaa hili nilicheka sn [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Na kuonesha namna gani alikua na nguvu na bado ana nguvu ni namna anavyowatesa while in 6 feet under, bado mnateseka na mtazidi kuteseka, hamtakaa mpate heshima hata theluthi ya JPM wala hamtakaa mpendwe na ulimwengu kama alivyopendwa JPM
Wewe choice variable unateseka kila siku na I'd kama million upo kama kichaa na inaonekana ni namna gani JPM anakutesa.
Uzuri ni kwamba Magufuli effects are very alive and active on all levels of government and public, huwezi kulikwepa hilo, legacy yake ni ya milele.
Basi mi namtoa wapi hyo mwana yupo jiji kw sasamlete nimpe upako ghetto
Hakuna kupeleka malaya shule ya Government na kama wanataka hivyo basi waondoe sheria ya miaka 30. Malaya akipata mimba aende private mbn simple tu, km alibakwa basi sheria zipo lkn sio anataka mwenyewe alafu mmoja aende jela mwingine arudi shule ni upumbavu.Aya yako ya pili, hakuna haki bila wajibu. Unasema haki ya kikatiba, ni sahihi, lkn hiyo inaendana na wajibu wa mtoto wa kike kujitunza. Akishindwa hiyo haki hipotea.
Mchingaji hyo, kasema bado hajaolewa peleka posa kw natasha ujipigiekumbe haikueleweka
huyu madam ruth ni mchungaji huko kenya, hapo anapigwa chanjo ya corona..began ana tatoo dah
View attachment 1754099
Mama keshatia sahihi ya kupokea chanjo sasa mnapumbazwa kwanzaKudadadeki watakaa kuanzia saa 11 mpk saa 2 usiku kumuongelea mtu mmoja ambaye hayupo duniani Wakenya mmewasikia mabwana zenu? Haya tuambieni mliwahi kusikia wapi kikao cha namna hii[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Elimu ni haki ya kila mtoto, sasa we wajibu unaingiliaje hapoAya yako ya pili, hakuna haki bila wajibu. Unasema haki ya kikatiba, ni sahihi, lkn hiyo inaendana na wajibu wa mtoto wa kike kujitunza. Akishindwa hiyo haki hipotea.
Unadhani hajui km 2025 anatakiwa aiwakilishe CCM kwa mafanikio?Mama keshatia sahihi ya kupokea chanjo sasa mnapumbazwa kwanza
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]Elimu ni haki ya kila mtoto, sasa we wajibu unaingiliaje hapo
Hakuna kupeleka malaya shule ya Government na kama wanataka hivyo basi waondoe sheria ya miaka 30. Malaya akipata mimba aende private mbn simple tu, km alibakwa basi sheria zipo lkn sio anataka mwenyewe alafu mmoja aende jela mwingine arudi shule ni upumbavu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Afadhali ukaamua kupindisha hvo hvo, nikikuuliza unilete screenshota ya hayo unayoyaongea km niliyasema wapi utaniletea au ni kujiropokea tu km kawaida yenuKwamba 80s mlijenga reli ya umeme, mlijenga bwawa kubwa la kuzalisha umeme, mlijenga three level interchange, mlijenga meli kubwa za abiria na mizigo, haya viko wapi sasa hebu tuoneshe [emoji1787][emoji1787][emoji125][emoji125][emoji125]
Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba sana yamkute mwanaoHakuna kupeleka malaya shule ya Government na kama wanataka hivyo basi waondoe sheria ya miaka 30. Malaya akipata mimba aende private mbn simple tu, km alibakwa basi sheria zipo lkn sio anataka mwenyewe alafu mmoja aende jela mwingine arudi shule ni upumbavu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sheria ni msumeno, ukizingatia hayo utaishi kwa raha duniani hapa.Naomba sana yamkute mwanao
Alafu mbona juzi bungeni waliongea mengine[emoji23][emoji23]kweli nchi imejinyea[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
South Korean Firm to Supply SGR Trains to Tanzania - Railway Business Magazine
NationMedia- The start of the modern train services in Tanzania is moving closer after the government signed $60 million (about Sh138 billion) contracts with a South Korean firm to supply trains for the standard gauge railway (SGR). The over Sh7 trillion project is being implemented in phases...railbus.com.ng
Huyu co wewe [emoji115][emoji115][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Viko wapi au ni madudu tu ndio amejaza, sisi tulivifanya 80s kw taarifa yako
Afadhali ukaamua kupindisha hvo hvo, nikikuuliza unilete screenshota ya hayo unayoyaongea km niliyasema wapi utaniletea au ni kujiropokea tu km kawaida yenu
Sasa mbona juzi mkasema mengine, nyie hata order hamjatoampaka wanafunzi wapo korea wanachukua training
Kwamba huyu co wewe huyu [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji1787]Afadhali ukaamua kupindisha hvo hvo, nikikuuliza unilete screenshota ya hayo unayoyaongea km niliyasema wapi utaniletea au ni kujiropokea tu km kawaida yenu
Enheee!!nimesema sgr na interchanges za 80s[emoji23][emoji23]Huyu co wewe [emoji115][emoji115][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Na wewe hapa umeandika nini[emoji23][emoji23][emoji23]Kwamba huyu co wewe huyu [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji1787]View attachment 1754108
Sent using Jamii Forums mobile app
Haya niambie vitu gn hivyo mlivifanya 80s nasubiri [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Enheee!!nimesema sgr na interchanges za 80s[emoji23][emoji23]
We kweli ulipita lugha hko shuleni
Hatoki mtu hapa[emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji117][emoji86][emoji118]Na wewe hapa umeandika nini[emoji23][emoji23][emoji23]
Pumba tupu tuView attachment 1754110
Haya niambie vitu gn hivyo mlivifanya 80s nasubiri [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wivu mzigo wallahi [emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji200][emoji200][emoji117][emoji1139][emoji117][emoji3545]
Sent using Jamii Forums mobile app