Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hata we pia mwanao yakimkuta urudi hapa kupiga soga
 
Kwa hivyo kwa akili yako wewe mkweli ni yupi hapo? Kuna watu mnakera ki ukweli. Kama hujalielewa bandiko ya nini kujibu? Kitu hukielewi unakausha.
 
Kaagize kinywaji baridi jomba unywe alafu talipa mwnywe, yani umeandika vitu vya maana sana mpka nakuta kweli kumbe bado duniani kuna watu wanajali haki sawa katika jinsia zote mbili wala sio kukandamizana tu..
 
Alikuwa "anarara" na ma-file kitandani MEKO alikuwa ana style ya kifala sana kudanganya MATAGA.
View attachment 1753817
Inaonyesha Magufuli ataishi vichwani mwenu nyie haters wake kwa muda mrefu kuliko hata sisi wafuasi wake. Hiyo ndiyo sifa moja wapo ya legends. Kila uchao akili zenu zinapambana na legacy ya Magu. So lazima mje na vipost vya aina hiyo kupunguza sumu! Vippers!
 
Kuna wanafunzi walijifungulia nyumbani pindi wapo shuleni na wakarudi kuendelea na masomo yao km kawaida hku kaacha mtoto nyumbani..

Hivi tunavyo argue hapa farhiya bint hassan yupo JKUAT(main campus) anakupigia computer science..we sema km toto lako ni zuzu hata lisipotungwa halitashika tu
 
Picha za miradi inayoendelea Tanzania zikipostiwa humu huwa anaanza kumu-attack JPM.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…