The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,668
- 99,003
Wanawake mnasapotiana au sio [emoji3][emoji3][emoji117][emoji90]Kaagize kinywaji baridi jomba unywe alafu talipa mwnywe, yani umeandika vitu vya maana sana mpka nakuta kweli kumbe bado duniani kuna watu wanajali haki sawa katika jinsia zote mbili wala sio kukandamizana tu..
Badala ya kwenda Ulaya atachukua basi mpaka Dar halafu anapata nafasi ya kuonja electrical SGR! Halafu anageuza kusimulia wenzie pale Kibera!
ulikwepo wakati anapewa hiyo mimba...?Kheee!!tena ulisoma komenti yangu na ukaielewa kweli, hyo binti alipachikwa mimba wakati akisubiria majibu yake ya darasa la nane..
Nyumbai alisutwa sana mpka ikafikia babake kumkana na kujitenga nae hku akifikia uamuzi wa kumtelekeza..
Binti yetu amashukuru sana mamake kw kupambana naye kw hali na mali, we unafikiria naongelea story za vijiweni..hili ni swala limetukuta km wanafamilia,
Binti yetu alipambana na wala hakuacha kumuomba Mungu mamake akimfariji na kumpa maneno ya kumtia moyo..ona sasa mtoto kapiga mpka kidato cha nne akapita sai yupo chuo kikuu anakupigia computer science hku akifadhiliwa na serekali japokua baba yake mpka sasa hataki habari zake..
Sasa wewe endelea na akili zako za kizamani eti mtu akizaa hawezi ku forcus na elimu
huu utaratibu upo safi sanaWakenya ona kama Europe yani adi raha onaa[emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji117][emoji1139][emoji117][emoji3545][emoji3545][emoji117][emoji1241][emoji117]baba laoo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116]View attachment 1754556View attachment 1754557
Sent using Jamii Forums mobile app
hivi wataijenga kweli....Progress ya Ubungo trading center wakuu ile pale nimepiga picha kisela.View attachment 1754563View attachment 1754564
Sent using Jamii Forums mobile app
Na waache ushamba wasione haya kujifunza kwa jirani.Wakenya ona kama Europe yani adi raha onaa
Umia taratibu usitumie nguvu 😃😃😃What an ugly city, eyesore😬
Labda Alikuwa akishikiria miguuulikwepo wakati anapewa hiyo mimba...?
au wewe ndiye ulikuwa kuwadi wake
Ile ubungo terminal ishabomolewa kumbe!!Progress ya Ubungo trading center wakuu ile pale nimepiga picha kisela.View attachment 1754563View attachment 1754564
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwenye hii idara tumewapiga 3-0Unajua hii Magufuli bus terminal we acha tu yn hii ni kiboko sijawahi ona, hapa nimepiga picha nikiwa floor ya kwanza na ya pili.View attachment 1754613View attachment 1754614View attachment 1754616View attachment 1754617View attachment 1754618View attachment 1754619
Sent using Jamii Forums mobile app